Kabila Junction (@kabilajunction) 's Twitter Profile
Kabila Junction

@kabilajunction

Food, Drinks & Entertainment ๐Ÿฑ๐Ÿน๐Ÿป| Serengeti Road Arusha | 0743147017

ID: 1962171218670276608

calendar_today31-08-2025 15:11:18

39 Tweet

36 Followers

9 Following

Kabila Junction (@kabilajunction) 's Twitter Profile Photo

Karibu uangalie Manchester Derby kwenye Big Screen. Wakati unatazama mchezo huu utapata -vyakula ๐Ÿฒ๐Ÿ๐Ÿ›๐Ÿ—๐Ÿ– -Vinywaji ๐Ÿฅคโ˜•๏ธ๐Ÿฅ‚๐Ÿบ๐Ÿน๐Ÿธ๐Ÿฅƒ๐Ÿท -Eneo la kucheza watoto -Eneo la kutulia au kufanya kikao -Huduma nzuri Kwa bookings na reserve ya nafasi piga 0743147017.

Karibu uangalie Manchester Derby kwenye Big Screen.

Wakati unatazama mchezo huu utapata
-vyakula ๐Ÿฒ๐Ÿ๐Ÿ›๐Ÿ—๐Ÿ–
-Vinywaji ๐Ÿฅคโ˜•๏ธ๐Ÿฅ‚๐Ÿบ๐Ÿน๐Ÿธ๐Ÿฅƒ๐Ÿท
-Eneo la kucheza watoto
-Eneo la kutulia au kufanya kikao
-Huduma nzuri

Kwa bookings na reserve ya nafasi piga 0743147017.
WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Hili chimbo linapatikana Arusha mjini Kabila Junction ukiachana na huduma zake bora pia ni sehemu sahihi ya kucheki game za hii wikiendi. Bei zao ni rafiki sana na kizalendo usiogope, chimbo la kwenda kupiga picha za photo dump hili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hili chimbo linapatikana Arusha mjini <a href="/KabilaJunction/">Kabila Junction</a> ukiachana na huduma zake bora pia ni sehemu sahihi ya kucheki game za hii wikiendi.

Bei zao ni rafiki sana na kizalendo usiogope, chimbo la kwenda kupiga picha za photo dump hili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Unataka nini tena masta wangu?kama uko Chugga chimbo la kutulia na kuchekia game ukiwa umepoa ni Kabila Junction mkuu. Misosi ya vinywaji kwa bei ya kizalendo vinapatikana pia. Njooni nyote, njoo na bebi wako, njoo na familia, si tukutane huko?

Unataka nini tena masta wangu?kama uko Chugga chimbo la kutulia na kuchekia game ukiwa umepoa ni <a href="/KabilaJunction/">Kabila Junction</a> mkuu.

Misosi ya vinywaji kwa bei ya kizalendo vinapatikana pia.

Njooni nyote, njoo na bebi wako, njoo na familia, si tukutane huko?
Sean ๐ŸŽ–๏ธ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

A city sehemu ni moja tu ya kula, kunywa na kucheki game ya Manchester United vs Man City Leo Kabila Junction sehemu nzuri ya Kutazama United wakikandwa For Reservation, tupige kwa โ˜Ž๏ธ 0743 147 017

A city sehemu ni moja tu ya kula, kunywa na kucheki game ya Manchester United vs Man City Leo 

<a href="/KabilaJunction/">Kabila Junction</a> sehemu nzuri ya Kutazama United wakikandwa 

For Reservation, tupige kwa โ˜Ž๏ธ 0743 147 017
Kabila Junction (@kabilajunction) 's Twitter Profile Photo

Vigezo 1. Follow Kabila Junction 2. Mshindi wa kwanza kucomment ndio atakua mshindi 3. Tag watu 3 4. Matokeo ya 0-0 hayatahesabika 5. Mwisho wakubashiri ni dk 30 kabla mchezo haujaanza