
Julius Jaji
@julius_jaji
@udsmofficial + @gujuni1949 Alumnae | Clinical psychologist at @mirembe_hosptz || katibu UVCCM UDSM 20/22
ID: 1342452674399268864
https://jaji.tusome.online 25-12-2020 12:50:52
29,29K Tweet
5,5K Followers
4,4K Following


๐ธ๐ด This week in Mogadishu, Africa CDC and Ministry of Health- Somalia are co-hosting a high-level workshop to shape the countryโs first national strategy and operational plan for viral hepatitis control. As one of our first technical engagements in Somalia, the workshop brings together key




On July 15, the One Health Society (OHS) had the privilege of joining Hon. Jim Yonaz (Permanent Secretary, Prime Ministerโs Office โ Policy, Parliament, and Coordination), Food and Agriculture Organization, Ciheb, and key stakeholders from various key line ministries for the launch of the One Health ECHO







Changamoto za afya ya akili nchini kwetu ni suala ambalo ni jipya na mapokeo ni tofauti na wengi wakilihusisha na imani za kishirikina Mdau Moyo wa TAIFA โข๏ธ, Akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace.


Hii space ya #ElimikaWikiendi Kuna madini Sana hapa,yakujifunza kama vijanaโโโ AFYA YA AKILI๐ฅ๐ฅ๐ฅ



Kuanzia ngazi ya familia zetu hadi kwenye jamii nzima tunapaswa kuwa na utaratibu wa kuzungumza juu ya changamoto ya afya ya akili ili watu wawe na uelewa na kupunguza athari zinazoweza kuwakabili. Mtafiti wa sayansi suma anniemarie, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace.


Kutokana na dhana hasi juu ya changamoto ya afya ya akili vijana wamekuwa wahanga, ni muhimu sasa jamii ibadilike na kulichukulia kwa uzito. Mdau Moyo wa TAIFA โข๏ธ, akizungumza kwenye #ElimikaWikiendi Xspace.




