Baba Assad CAG🇹🇿 (@jrmalcolm88) 's Twitter Profile
Baba Assad CAG🇹🇿

@jrmalcolm88

The way you treat yourself sets the standard for others on how you demand to be treated. Do not settle for anything other than respect.

#CrownMediaTZ Fan.

ID: 2909178212

linkhttp://page.is/jrmalcolm88 calendar_today24-11-2014 14:43:23

142,142K Tweet

16,16K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Baba Assad CAG🇹🇿 (@jrmalcolm88) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa nimetembelea Jumla ya Kata 3, Vituo 12. Mwamko kwa wapiga kura ni mkubwa sana, Usalama wa kutosha, Hali ya Hewa ni nzuri.

Baba Assad CAG🇹🇿 (@jrmalcolm88) 's Twitter Profile Photo

Zamani Maria Sarungi alikuwa anahoji sana Ushiriki wa Wanawake na nafasi mbali mbali za Teuzi Serikalini, Tukapata Wanawake wengi Shupavu Kweli Kweli. Sasa amegeuka tena sijui amerogwa na nani!

Baba Assad CAG🇹🇿 (@jrmalcolm88) 's Twitter Profile Photo

Baraka kwa Watanzania wote, Nchi ya Amani na Upendo. Dua njema tunakuombea kiongozi wetu katika siku ya leo muhimu kabisa kwa Taifa letu 🙏🏾