Jpl2024 (@jpl15925) 's Twitter Profile
Jpl2024

@jpl15925

ID: 1848636589267689472

calendar_today22-10-2024 08:06:31

8,8K Tweet

128 Followers

232 Following

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Takribani nusu ya miradi ya uwekezaji iliyosajiliwa nchini mwaka 2024 ilikuwa ni viwanda. Uwekezaji huo utatoa zaidi ya ajira 45,000 kwa wananchi. Ajira hizo zitabadili maisha ya wananchi. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Takribani nusu ya miradi ya uwekezaji iliyosajiliwa nchini mwaka 2024 ilikuwa ni viwanda.

Uwekezaji huo utatoa zaidi ya ajira 45,000 kwa wananchi. Ajira hizo zitabadili maisha ya wananchi.

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Juzi kati hapo nilipata nafasi ya kukutana na Rais wa Taifa la Finland, Alexander Stubb alipoitembelea Tanzania kikazi, hakutaka mambo mengi muda wa kupiga picha ulipofika ๐Ÿ˜… akaniambia picha za kusimama zimeshakuwa za kawaida sana kama vipi tukae tu hapo kwenye huo msingi sio

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana. Hakika,

Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana.

Hakika,
Kizimkazi (@mamasamia2025) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Serikali imekamilisha marekebisho ya Sheria ya Reli Na. 10 ya Mwaka 2017 ili kuruhusu sekta binafsi kushiriki kutoa huduma ya usafirishaji kupitia njia ya reli. Lengo ni kuongeza ufanisi, kuleta unafuu na kukuza pato la taifa. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa

Serikali imekamilisha marekebisho ya Sheria ya Reli Na. 10 ya Mwaka 2017 ili kuruhusu sekta binafsi kushiriki kutoa huduma ya usafirishaji kupitia njia ya reli.

Lengo ni kuongeza ufanisi, kuleta unafuu na kukuza pato  la taifa.

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Upatikanaji wa umeme mkoani Ruvuma umeimarika. Vijiji vyote 554 mkoani humo vimeunganishwa na umeme. #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Upatikanaji wa umeme mkoani Ruvuma umeimarika.

Vijiji vyote 554 mkoani humo vimeunganishwa na umeme.

#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

Kufanikiwa huku kunakotambuliwa leo kunatokana na kutekelezwa kwa matakwa hayo ya wananchi kupitia mihimili yetu ya utawala yani serikali, Bunge na Mahakama. Tukipewa nguvu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama."- Rais Samia Suluhu #MamaYukokazini #MamaaAnafanikisha

Kufanikiwa huku kunakotambuliwa leo kunatokana na kutekelezwa kwa matakwa hayo ya wananchi kupitia mihimili yetu ya utawala yani serikali, Bunge na Mahakama. Tukipewa nguvu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama."- Rais Samia Suluhu 

#MamaYukokazini 
#MamaaAnafanikisha
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐——๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ผ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

๐——๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ผ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele

Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Jpl2024 (@jpl15925) 's Twitter Profile Photo

NCHI YANGU, FAHARI YANGU. TUMERITHISHWA TUWARITHISHE #sisinitanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiWajibuWetu #TanzaniaYanguFahariYangu #kazinaututunasongambele

Jpl2024 (@jpl15925) 's Twitter Profile Photo

NCHI YANGU, FAHARI YANGU. TUIPENDE, TUITUNZE PIA TUILINDE NCHI YETU TANZANIA #sisinitanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiWajibuWetu #TanzaniaYanguFahariYangu #KaziNaUtuTunasongaMbele

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ก๐—ธ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—น๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐Ÿณ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ. #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo. #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo.

#MamaYukokazini 
#MamaAnafanikisha
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kuweka kambi ya wapigania Uhuru wa FRELIMO Bagamoyo mkoani Pwani, kisha kuhamia Kongwa mkoani Dodoma na baadaye Nachingwea mkoani Lindi, safari ya Uhuru wa Msumbiji imesheheni historia ya udugu katika hali zote kati yake na Tanzania. Sisi ni ndugu, hivyo uhuru wao ni uhuru

Kutoka kuweka kambi ya wapigania Uhuru wa FRELIMO Bagamoyo mkoani Pwani, kisha kuhamia Kongwa mkoani Dodoma na baadaye Nachingwea mkoani Lindi, safari ya Uhuru wa Msumbiji imesheheni historia ya udugu katika hali zote kati yake na Tanzania. Sisi ni ndugu, hivyo uhuru wao ni uhuru
Kizimkazi (@mamasamia2025) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025

Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Senegal Mhe. Macky Sall wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Jijini Abuja nchini Nigeria leo tarehe 25 Juni 2025. Makamu wa

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Watanzania mbalimbali waishio nchini Nigeria wakimpokea Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili Abuja nchini Nigeria kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025.

Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA TAMASHA LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA Katika kilele cha Tamasha la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi