#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile
#KINYONGA

@joxe_mtambalike

mechanical technician
@simbasc and chelsea super fun
#never give up|follow me i will follow u back|

ID: 1109916312204206085

calendar_today24-03-2019 20:34:04

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

"Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nayi mtafunguliwa. Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa." (Lk. 11:5-13)

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

Warumi 12:17 (Romans) Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. Repay no one evil for evil. Have regard for good things in the sight of all men.

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

Isaya 1:19 (Isaiah) Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi; If you are willing and obedient, You shall eat the good of the land;

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

Super Sunday Simba vs premier de augusto 16:00 Chelsea vs aston villa 16:00 Man u vs Newcastle 16:00 Madrid vs Barcelona 17:15 Liverpool vs mancity 18:30 Azam vs al akhdar 19:00 Al hillal vs yanga 21:00 Remember i have two eyes 🙃🙃

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 81:10 (Psalms) Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza. I am the Lord your God, Who brought you out of the land of Egypt; Open your mouth wide, and I will fill it.

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 23:1 (Psalms) Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. A Psalm of David. The Lord is my shepherd; I shall not want.

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. - Isaya 41:10

#KINYONGA (@joxe_mtambalike) 's Twitter Profile Photo

john 3:36 He who believes in the Son has everlasting life; and he who does not believe the Son shall not see life, but the wrath of God abides on him."

Dan Chibo (DC) (@danchibodc) 's Twitter Profile Photo

GHARAMA YA KUTOKA NA MCHEPUKO 1. Usafiri wa Kuja - 10k 2. Chumba Lodge - 30k 3. Chakula + Vinywaji - 30k 4. Asante kwa Kuja - 50k Jumla - 120k NB: Huu ni mtoko wa mara moja, mkikutana mara mbili kwa mwezi ni 200k+, na ni kwa starehe ya nusu saa tu. Lakini👇🏽

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA MCHANA IJUMAA JUMA LA PILI Kumbukumbu ya Mt. Fransisko wa Asizi (Octoba - 04) K. Ee Mungu, uje kutusaidia. W. Ee Bwana, utusaidie hima. Atukuzwe Baba.. UTENZI Njoo Roho Mtakatifu, Ndani yetu sisi uishi, Pamoja nawe waje pia Mungu Baba na Mungu Mwana, Nazo zako tele

SALA YA MCHANA
IJUMAA JUMA LA PILI
Kumbukumbu ya Mt. Fransisko wa Asizi (Octoba - 04)

K. Ee Mungu, uje kutusaidia.
W. Ee Bwana, utusaidie hima.
Atukuzwe Baba..

UTENZI
Njoo Roho Mtakatifu,
Ndani yetu sisi uishi,
Pamoja nawe waje pia
Mungu Baba na Mungu Mwana,
Nazo zako tele
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA KWA MAHITAJI MAALUM. Ee Mungu uliye nguvu na makimbilio yetu, kwa wema uwasikilize watu wako wanaokulilia, kwa maombezi ya Maria Mtakatifu asiye na dhambi mzazi wa Mungu, na ya mtakatifu Yosefu mchumba wake, na ya watakatifu Petro na Paulo mitume wake, na ya watakatifu

SALA KWA MAHITAJI MAALUM.

Ee Mungu uliye nguvu na makimbilio yetu, kwa wema uwasikilize watu wako wanaokulilia, kwa maombezi ya Maria Mtakatifu asiye na dhambi mzazi wa Mungu, na ya mtakatifu Yosefu mchumba wake, na ya watakatifu Petro na Paulo mitume wake, na ya watakatifu