Joshua luvanda (@joshualuva45085) 's Twitter Profile
Joshua luvanda

@joshualuva45085

Marketing officer and @young africa supporter and @ccm

ID: 1651133831389347840

calendar_today26-04-2023 07:59:52

952 Tweet

1,1K Followers

760 Following

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kwenye Biblia Katika Agano la Kale neno "Kafir" lmetamkwa mara 11, katika Kitabu cha 1Samweli mara 1, Neemia mara 4, Maombolezo mara 3 na Ezekiel mara 3. Kwenye vitabu tajwa neno "Kafir" linapatikana katika aya zifuatazo: 1Samwel 15:23,Neemia 5:8,

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธLindi Mjini!๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Aliemfanya Nyerere akasimama alipokua ameketi na kupiga makofi si mwingine ni Jakaya Kikwete Huyu jamaa alizaliwa kufanya Siasa katika umri wake huu alikua ni master mind what a speech?

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA Kimegeuka Chama cha Domo-krasia na Mabakuli Ni aibu kubwa mnoo pale anaejiita mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani anapo lazimisha wananchi wamchagie. Ni aibu kubwa zaidi pale wananchi hao wanapogomea kumchangia. Ndio mjue, wengi wanaoenda kumuona Lissu akihutubia

Mwita C. Mwita (@mwitah_tz) 's Twitter Profile Photo

Ni utaratibu wa kawaida, mzabuni ku supply facilitation items kama gari kwa msimamizi/Ofisi Kuu na wakati wote gari inakua chini ya umiliki wa mzabuni hadi tender ikiisha ndo inafanyika transfer kwenda Serikalini. Miradi mingi ya maji, umeme, miundombinu ina huu utaratibu Mkuu.

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Upotoshaji wa hawa wanahabari uchwara umekithiri sana huku mitandaoni. Kwanza jueni kutofautisha hivi vitu vitatu: โ€ข WCB Wasafi (Record Label) โ€ข Wasafi Media Group (Radio & TV) โ€ข Diamond Platnumz Personal Employees (Manager, Stylist, Photographer, Assistant, Housegirl)

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni

๐”๐ƒ-๐๐Ž๐˜ (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

Katika moyo wa Vatikani, chini ya Basilica ya Mtakatifu Petro, kulikuwa na chumba cha kale kilichofichwa, kinachoitwa..... KUBA LA MWANGAZA. ( dome of light) Hiki kilikuwa ni mahali pa siri ambapo Papa na Kasina Mkuu pekee waliweza kuingia, na siri yake ilihifadhiwa kwa karne

Katika moyo wa Vatikani, chini ya Basilica ya Mtakatifu Petro, kulikuwa na chumba cha kale kilichofichwa, kinachoitwa.....

 KUBA LA MWANGAZA.  ( dome of light)
 Hiki kilikuwa ni mahali pa siri ambapo Papa na Kasina Mkuu pekee waliweza kuingia, na siri yake ilihifadhiwa kwa karne