MFAHAMU VYEMA John Stith Pemberton🍷
.
Mwanzilishi wa Coca-Cola, Kinywaji Maarufu Zaidi Dunia Nzima.
"Wakati dunia ikiwa na changamoto ya kupata kinywaji kitakachopendwa na wengi, John Pemberton alikuwa akijitengenezea dawa ya kujitibu mwenyewe maradhi yake bila kujua
Sio kila usaliti ni laana, kuna usaliti mwingine hutengeneza baraka kubwa kuliko ya kwanza! Hivi ulishajiuliza Yuda asingemsaliti Yesu, ukombozi Msalabani ungekuaje!!?? Ijumaa Kuu njema!!!
Siri Iliyofichwa: Kwa Nini Kitabu cha Enoch Kiliondolewa kwenye Biblia?
Kitabu cha Henoko (book of Enoch)
kitabu hiki kinasemekana kiliandikwa karibu karne ya 3 KK hadi karne ya 1 BK.
kitabu hiki kinatoa Maelezo ya maono ya Henoko kuhusu mbingu, malaika waasi, na hukumu ya