Joseph (@josephgidionl) 's Twitter Profile
Joseph

@josephgidionl

There is always the way

ID: 1438103185592365064

calendar_today15-09-2021 11:31:47

5,5K Tweet

10,10K Takipçi

6,6K Takip Edilen

Used Point (@usedpointtz) 's Twitter Profile Photo

Ukipunguza pombe na kuhonga uwezo wa kununua unao ila shida priorities zako tu! ALL IN 1 PC Hp EliteDesk 800 G4 Intel Core i5 8th Gen Processor 2.1GHz RAM 8GB 256gb or HDD 500gb Display 22 inches frameless 💥 Keyboard 💥 Mouse 💥Power Adapter 💥BOX PACK😋 950,000/=

Ukipunguza pombe na kuhonga uwezo wa kununua unao ila shida priorities zako tu!

ALL IN 1 PC
Hp EliteDesk 800 G4 
Intel Core i5 8th Gen
Processor  2.1GHz 
 RAM 8GB  
256gb or HDD 500gb 
Display 22 inches frameless 
💥 Keyboard 
💥 Mouse 
💥Power Adapter 
💥BOX PACK😋

 950,000/=
Radio Maria Tanzania (@radiomariatz) 's Twitter Profile Photo

SALA KWA MTAKATIFU YOSEFU Ee Mt. Yosefu, wewe ni Mchumba safi na Mpenzi wa Bikira Maria, u Baba Mlishi wa Yesu, mlinzi na mtunzaji wa Familia Takatifu, na wa familia zote. Tuna imani kabisa katika uangalizi wako uliojaa upendo, juu ya uhai mpya, na uaminifu wako kwa familia.

SALA KWA MTAKATIFU YOSEFU
Ee Mt. Yosefu, wewe ni Mchumba safi na Mpenzi wa Bikira Maria, u Baba Mlishi wa Yesu, mlinzi na mtunzaji wa Familia Takatifu, na wa familia zote. Tuna imani kabisa katika uangalizi wako uliojaa upendo, juu ya uhai mpya, na uaminifu wako kwa familia.
ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

I wish hii tweet ningeipandisha mchana ili walau kila mpambanaji aisome. But, sio kwa ubaya usiku huu huu tunamaliza. Ni hivi, kama unapambana kupata mkate wako wa kila siku, either mwanaume au mwanamke. Epuka sana kuishi kwa KULALAMIKIWA. Ukiishi huku unasononesha mioyo ya

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke hapendi kuwa single kama amewahi kuwa sexual active kwa muda mrefu. Sasa akisema lets breakup nipumzike swala la mahusiano kwa sasa ujue kakudanganya. Uhalisia ni kwamba anakua amepata mwanaume ambae ni bora zaidi yako. And mind you bro. Uko replacable, you can be

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Tatizo la Top tier women [warembo] ni kwamba. Akiwa mzuri tu haoni haja ya kujipatia pesa kwa namna nzuri zaidi ya kuchulia advantage uzuri wake. Them be okay to men with money only, Utakuta anatokea maisha ya kawaida ila anamiliki iPhone kali sana unahisi inatoka wapi? Its

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Sex is sweet alyways before first ejaculation. Ya pili, Ya tatu na kuendelea huwa tuna force tu unyama ila I bet hazina vibe kwa kila mtu. Again foreplay is the best than ins and outs. No wonder animals just smash one heavy goal na kusepa.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

USIENDELEE NA WANAWAKE WAFUATAO; 1. Hawezi kujipa mahitaji yao, wanawake hawa watakutegemea kwa kila kitu, hawana vision wala future usidhani atabadilika kwa kumpa mtaji. 2. Kama anakukosea heshima na kukudogodesha mara kwa mara, heshima ni msingi wa mahusiano imara bila hilo

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Unakuta non virgin woman at her 30s ana crave mwanaume wa kumuoa then kikubwa anachoona kina mpa credit katika ndoa ni. 1. Nitampa good sex. 2. Nitakuwa mnyenyekevu na kumpa amani ya moyo. Jiulize swali sasa, tangu amekua active katika sex hakuwahi jua kuna kuwa submissive

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Fanyeni mambo yoote wanangu lakini sio kumuamini ambae amekuwa sexual active kwa muda mrefu sana let sa 4-6+ years of experience. Hawa watu wapo kwaajiri ya opportunity fulani fulani hawapo serious na swala zima la mahusiano ila tu kuna nini wanagain kutokana na kuwa na wewe.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni mfano wa txt ambazo sipendi zitoke kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke wake. 1. Umelala? 2. Mbona nakutumia txt haujibu? 3. Inamaana missed calls zangu hauzioni? 4. Ume enjoy? [After sex] 5. Weekend tunaweza kuonana? Instead try things like. 5. Weekend hii naomba

MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Kama umepanga, nyumba unayokaa ilikuwa na mpangaji mwingine kabla yako na itakuwa na mwingine baada yako. Acha mbwembwe.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Wanawake 10 wa kuepuka katika kuoa au ukioa uwe makini sana kiakili na financially. 1. Msomi 2. Msomi 3. Msomi 4. Mwenye kwao wana maisha mzuri kuliko kwenu 5. Alielelewa bila uwepo wa Baba japo Baba mzazi yupo. 6. Ambae yupo desperate na mitandao 7. Mwenye kipato kukuzidi

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Bros ambao wamesha collect shits together like nyumba, kipato kigari ama pikipiki na vyanzo vingine vya mapato. Mara nyingi tunawapuuza wazazi, hatushirikishi tena wazazi kwenye mishe zetu specifically wale ambao wazazi hawana kipato kizuri. Mtu anaoa bila kuwaambia wazazi.

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Ushindwe wewe tuu kuwatesa Majirani Mkuu.....Kataa unyonge 😅🔥 👉🏽Skales~Shake Body🎶 👉🏽Runtown~The Banger🎶 👉🏽Dj Maphorisa~Soweto Baby🎶 👉🏽Davido~The Sound🎶 👉🏽Mafikizolo~Khona🎶 👉🏽J martins~Touchin Body🎶 👉🏽D'Banj~Oliver Twist🎶 👉🏽Bracket & Tekno~Panya🎶 👉🏽P square~Alingo🎶

Radio Maria Tanzania (@radiomariatz) 's Twitter Profile Photo

UNAFAHAMU HISTORIA YA DOMINIKA YA MATAWI -PADRE BONAVENTURE MARO, C.PP.S Kwa ufafanuzi zaidi tufuatilie kupitia ukurasa wa Facebook Radio Maria Tanzania 🇹🇿 facebook.com/share/p/162deU…

UNAFAHAMU HISTORIA YA DOMINIKA YA MATAWI -PADRE BONAVENTURE MARO, C.PP.S 

Kwa ufafanuzi zaidi tufuatilie kupitia ukurasa wa Facebook Radio Maria Tanzania 🇹🇿 
facebook.com/share/p/162deU…