CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA

@jose__mrema

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

ID: 1817849845761368064

calendar_today29-07-2024 09:09:44

105 Tweet

32 Followers

279 Following

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Mhe. John Heche, akiwa ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Bara, Mhe: Amani Golugwa, pamoja na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Mhe. Adv. Samwel Welwel, leo Ijumaa, Februari 21, 2025, wamekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi

ya Twariqatul Qadiriyyat Arraziqyyat katika Makao Makuu yake, Zawia Kuu, iliyopo Kata ya Ngarenaro, Arusha. Viongozi hao walipofika katika Makao Makuu ya Zawia Kuu, walipokelewa na viongozi wa Taasisi ya hiyo ambapo walifanyiwa dua maalum. Dua hiyo iliongozwa na viongozi wa

ya Twariqatul Qadiriyyat Arraziqyyat katika Makao Makuu yake, Zawia Kuu, iliyopo Kata ya Ngarenaro, Arusha.

Viongozi hao walipofika katika Makao Makuu ya Zawia Kuu, walipokelewa na viongozi wa Taasisi ya hiyo ambapo walifanyiwa dua maalum. Dua hiyo iliongozwa na viongozi wa
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile Photo

taasisi hiyo, ikiwa ni ishara ya kuombea mafanikio, umoja na amani kwa chama na nchi kwa ujumla. Viongozi wa taasisi hiyo walielezea furaha yao kuwa na viongozi hawa wakiwemo katika mazingira ya kiroho, wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano na maombi kwa ajili ya ustawi wa nchi

taasisi hiyo, ikiwa ni ishara ya kuombea mafanikio, umoja na amani kwa chama na nchi kwa ujumla.

Viongozi wa taasisi hiyo walielezea furaha yao kuwa na viongozi hawa wakiwemo katika mazingira ya kiroho, wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano na maombi kwa ajili ya ustawi wa nchi
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile Photo

PRESS CONFERENCE Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, saa nane mchana Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Mhe. Amani atazungumza juu ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliw kwa mkakati maalum wa TONE

PRESS CONFERENCE

Naibu Katibu  Mkuu Bara Mhe. <a href="/amanigolugwa/">Amani Golugwa</a> atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, saa nane mchana Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.

Mhe. Amani atazungumza juu ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliw kwa mkakati maalum wa TONE
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile Photo

#NoReformsNoElection imeisaidia sana kujua kwamba kumbe tulikuwa tumezungukwa na watu ambao hawakuwa waamini wa MABADILIKO YA KWELI wao walikuwa CHADEMA kwa ajili ya Udiwani na Ubunge tu.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ARUSHA (@jose__mrema) 's Twitter Profile Photo

Mwenendo deni la Taifa 2018—Sh49.9 trilioni 2019—Sh50.77 trilioni 2020—Sh54.98 trilioni 2021—Sh59.85 trilioni 2022—Sh69.26 trilioni 2023—Sh77.01 trilioni 2024—Sh91.71 trilioni 2025—Sh107.7 trilioni NB; Kila mwananchi anadaiwa wastani wa shilingi milioni 1.6 na utazilipa tu.