Kwenye maisha nimejifunza kuwa kumuambia mtu mfupi wewe ni mfupi ni hatari sana.
Ingawa kiuhalisia ni wafupi lakini asilimia kubwa ya watu wafupi huwa hawapendi kabisa kuitwa wafupi.
Hapo zamani za kale binadamu alikuwa akisumbua akili yake katika kuunda silaha ili kukabiliana na wanyama wakali. Asilimia kubwa alifanikiwa
Siku hizi binadamu tumebadilika sasa tunaumiza akili ili kuunda silaha bora kabisa ili kukabiliana na binadamu. AKILI NI BINADAMU