John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile
John Nguti Chadema

@johnnguticdm

Human Rights Activist & Good Rule of Law || GROUNDERS Media Communication Officer || Chairman of BAVICHA Ilala State || Member of CHADEMA Political Party....

ID: 1413548647002804225

linkhttp://www.johnchuwa111.com calendar_today09-07-2021 17:21:06

7,7K Tweet

5,5K Takipçi

141 Takip Edilen

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Licha ya pingamizi kutoka kwa wanamazingira na watetezi wa haki za binadamu, kampuni hiyo ya Ufaransa TotalEnergies inaendeleza mradi huo kati ya nchi ya Uganda na Tanzania. Wananchi wanatakiwa kusimama kuzuia mradi uo wenye athari nyingi kuliko faida. #KataaEACOP #EACOPniTishio

Licha ya pingamizi kutoka kwa wanamazingira na watetezi wa haki za binadamu, kampuni hiyo ya Ufaransa TotalEnergies inaendeleza mradi huo kati ya nchi ya Uganda na Tanzania. Wananchi wanatakiwa kusimama kuzuia mradi uo wenye athari nyingi kuliko faida.
#KataaEACOP  #EACOPniTishio
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

The EACOP project will lead to an increase in vehicles in wildlife parks, putting them at risk from poaching, accidents, but also noise and air pollution... #KataaEACOP #EACOPniTishio

The EACOP project will lead to an increase in vehicles in wildlife parks, putting them at risk from poaching, accidents, but also noise and air pollution...
#KataaEACOP  #EACOPniTishio
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa EACOP utasababisha kuongezeka kwa magari katika mbuga za wanyamapori, na hivyo kuwaweka hatarini kutokana na uwindaji haramu, ajali lakini pia kelele na uchafuzi wa hewa... #KataaEACOP #EACOPniTishio

Mradi wa EACOP utasababisha kuongezeka kwa magari katika mbuga za wanyamapori, na hivyo kuwaweka hatarini kutokana na uwindaji haramu, ajali lakini pia kelele na uchafuzi wa hewa...
#KataaEACOP  #EACOPniTishio
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Kama maafisa waandamizi wa Serikali wanaongea uongo kuhusu masuala ya utekaji na maujia nchini, Tunategemea mambo haya yataisha bila sisi wananchi kuchukua hatua kupitia Nguvu ya umma kwa kutoka kukomesha mauaji na utekaji? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kama maafisa waandamizi wa Serikali wanaongea uongo kuhusu masuala ya utekaji na maujia nchini, Tunategemea mambo haya yataisha bila sisi wananchi kuchukua hatua kupitia Nguvu ya umma kwa kutoka kukomesha mauaji na utekaji?
 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Mikakati inayotumia CCM ili kuchanganya UMMA wasishituke wanaharibu nchi ni Rushwa za vitu kama baiskel, fedha na zawadi kwenye safari za viongozi, Malengo yao ni kupata mitano tena kisha waendelee kutafuna nchi, Tunajipangaje kama wananchi kukataa hii hali? #KatibaMpya

Tunataka #KatibaMpya itakayodhibiti na kuwajibisha upotoshaji na ulaghai kutoka kwa maafisa wa serikali. Jana Balozi Possi ameongea na Umoja na Mataifa na kudhalilisha Taifa kwa uongo wa wazi, tunataka Katiba ambayo itafungua mianya ya serikali kuachia mifumo bora ya uchaguzi.

CCM imejipanga kutumia Dola, Watumishi wa Umma na wanafunzi wa vyuoni na Sekondari kudanganywa umma, CCM imekuwa ikikumbatia wapotoshaji, Wanatumia machawa kuonyesha wanapendwa, Kwa hali hii uchaguzi uko salama?... #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

CCM imejipanga kutumia Dola, Watumishi wa Umma na wanafunzi wa vyuoni na Sekondari kudanganywa umma,  CCM imekuwa ikikumbatia wapotoshaji, Wanatumia  machawa  kuonyesha wanapendwa, Kwa hali hii uchaguzi  uko salama?...
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Tunaweza kuikabili CCM ambayo inatumia uongo na ulaghai kwa wananchi kufanya siasa, Bila mabadiliko ya mifumo ya sheria za UCHAGUZI, Mikoa ya Kanda ya Ziwa wananchi wanasombwa na malori ili kudanganya umma CCM bado inapendwa. Kutakuwa na uchaguzi huru? #WenyeNchiWananchi

Tunaweza kuikabili CCM  ambayo inatumia  uongo na ulaghai kwa wananchi kufanya siasa, Bila mabadiliko ya mifumo ya sheria za UCHAGUZI, Mikoa ya Kanda ya Ziwa wananchi wanasombwa na malori ili kudanganya umma CCM bado inapendwa. Kutakuwa na uchaguzi huru?
#WenyeNchiWananchi
Land Dwellers (@land_dwellers) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) pamoja na Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) kufanya uchunguzi dhidi ya madai ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utekaji.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) pamoja na Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) kufanya uchunguzi dhidi ya madai ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utekaji.
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Digging a section of an oil pipeline into the ground often requires clearing vegetation. In Tanzania, due to the EACOP project, we have lost thousands of hectares of trees to make way for the project, which had environmental benefits... #KataaEACOP #EACOPniTishio

Digging a section of an oil pipeline into the ground often requires clearing vegetation. In Tanzania, due to the EACOP project, we have lost thousands of hectares of trees to make way for the project, which had environmental benefits...
#KataaEACOP  #EACOPniTishio
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Kuchimba sehemu ya bomba cha mafuta kwenye ardhi mara nyingi kunahitaji kusafisha eneo la mimea. Kwa Tanzania kutokana na mradi wa EACOP tumeshapoteza maelfu ya hekari za miti ili kupisha mradi ambayo ilikuwa na faida za mazingira... #KataaEACOP #EACOPniTishio

Exploration and drilling for the EACOP oil pipeline, where it is intended to transport oil, could disrupt terrestrial and marine ecosystems. The seismic techniques used to explore for oil beneath the seafloor could harm fish and marine mammals... #KataaEACOP #EACOPniTishio

Exploration and drilling for the EACOP oil pipeline, where it is intended to transport oil, could disrupt terrestrial and marine ecosystems. The seismic techniques used to explore for oil beneath the seafloor could harm fish and marine mammals...
#KataaEACOP  #EACOPniTishio
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Kuchunguza na kuchimba bomba la mafuta la EACOP linapotakiwa kupitisha mafuta kutaweza kuvuruga mifumo ya ikolojia ya nchi kavu na baharini. Mbinu za mtetemeko zinazotumiwa kuchunguza mafuta chini ya sakafu ya bahari zinaweza kuwadhuru samaki na mamalia wa baharini... #KataaEACOP

Kuchunguza na kuchimba bomba la mafuta la EACOP linapotakiwa kupitisha mafuta kutaweza kuvuruga mifumo ya ikolojia ya nchi kavu na baharini. Mbinu za mtetemeko zinazotumiwa kuchunguza mafuta chini ya sakafu ya bahari zinaweza kuwadhuru samaki na mamalia wa baharini...
#KataaEACOP
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Ili kuimarisha demokrasia nchini inatakiwa tupate katiba bora ambayo Kiongozi anaposhindwa kutekeleza majukumu yake kuhudumia wananchi wawe na mamlaka na haki ya kumtoa madarakani, Mifumo hii ndio tunayotaka iwekwe wazi na kwa unyoofu katika #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Ili kuimarisha demokrasia nchini inatakiwa tupate katiba bora ambayo Kiongozi anaposhindwa kutekeleza majukumu yake kuhudumia wananchi  wawe na mamlaka na  haki ya kumtoa madarakani, Mifumo hii ndio tunayotaka iwekwe wazi na kwa unyoofu katika
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Mfumo sheria zetu umeondoa nguvu ya wananchi katika kuwajibisha serikali, haki zilizopo kama vile maandamano na maoni kupitia wito hupuuzwa na serikali au matumizi ya polisi, ili kurudisha nguvu hii ya wananchi katiba bora ni lazima... #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Mfumo sheria zetu umeondoa nguvu ya wananchi katika kuwajibisha serikali, haki zilizopo kama vile maandamano na maoni kupitia wito hupuuzwa na serikali au matumizi ya polisi, ili kurudisha nguvu hii ya wananchi katiba bora ni lazima...
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Wananchi huwakilishwa, Bunge ni chombo cha wananchi kusimamia serikali, Tanzania tuna bunge ambalo linaweza pigia debe serikali na wananchi wanakosa haki ya kuwajibisha wabunge. wabunge wanashindwa kuwakilisha wananchi vyema sababu Uchawa... #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Wananchi huwakilishwa, Bunge ni chombo cha wananchi kusimamia serikali, Tanzania tuna bunge ambalo linaweza pigia debe  serikali na wananchi wanakosa haki ya kuwajibisha  wabunge.  wabunge wanashindwa kuwakilisha wananchi vyema sababu Uchawa...
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa demokrasia imekufa wananchi kuporwa haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Wananchi wanapopiga kura hutoa dhamana ya madaraka, sio kwamba wanapoteza haki yao ya kuongoza nchi, au maoni yao kudharauliwa na walioshinda chaguzi... #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kwa sasa demokrasia imekufa  wananchi kuporwa haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Wananchi wanapopiga kura hutoa dhamana ya madaraka, sio kwamba wanapoteza haki yao ya kuongoza nchi, au maoni yao kudharauliwa na walioshinda chaguzi...
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Kufa kwa demokrasia kumepelekea mhimili wa mahakama kuingiliwa. Spika na Jaji mkuu wa mahakama aliyehuru ni moja ya vigezo vya kuongeza utawala bora, usimamizi wa serikali na utawala wa sheria, nchi zenye mihimili huru ni lazima ziwe na maendeleo. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kufa kwa demokrasia kumepelekea mhimili wa mahakama kuingiliwa. Spika na Jaji mkuu wa mahakama aliyehuru ni moja ya vigezo vya kuongeza utawala bora, usimamizi wa serikali na utawala wa sheria, nchi zenye mihimili huru ni lazima ziwe na maendeleo.
 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi