John Mango (@johnmango_) 's Twitter Profile
John Mango

@johnmango_

Mwanaume Bila MCHEPUKO Ni Sawa Na Taifa Bila Chama Cha Upinzani๐Ÿ“Œ
Real Madrid๐ŸŸ| CR7โšฝ๏ธ| ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|

ID: 1269957578253045761

calendar_today08-06-2020 11:41:10

28,28K Tweet

7,7K Followers

4,4K Following

John Mango (@johnmango_) 's Twitter Profile Photo

Kama upo kwenye mahusiano na uliye naye unampenda na unamuamini, epuka kukagua simu yake. Kama unayapenda maisha yako pia.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Extreme introvert ๐Ÿคฆ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿ’ซ (@sincerelyrahma_) 's Twitter Profile Photo

Hivi kwanini ukiwa na shida serious sana na urgent utazunguka kooote kwa unaowategemea hutapata msaada ila ukishakata tamaa ukamjaribu yule last last option ambae unamuomba tu badi ndo chap anatatua...WHY๐Ÿ˜น

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

๐’๐Ž๐Œ๐„๐“๐ˆ๐Œ๐„๐’ ๐Ÿ๐Ÿ—๐Ÿ—๐ŸŽ ๐”๐ฅ๐š๐ง๐ ๐š, ๐Œ๐š๐ก๐ž๐ง๐ ๐ž Bwana Ebo Malaya anawaajiri vijana watatu kwenye mgodi wake. Vijana hawa ni Mathew Ngonyani na ndugu wawili ambao ni Sabinus na Ephraim

๐’๐Ž๐Œ๐„๐“๐ˆ๐Œ๐„๐’ ๐Ÿ๐Ÿ—๐Ÿ—๐ŸŽ
๐”๐ฅ๐š๐ง๐ ๐š, ๐Œ๐š๐ก๐ž๐ง๐ ๐ž

Bwana Ebo Malaya anawaajiri vijana watatu kwenye mgodi wake.

Vijana hawa ni Mathew Ngonyani na ndugu wawili ambao ni Sabinus na Ephraim
John Mango (@johnmango_) 's Twitter Profile Photo

"Mwisho, lakini siyo kwa umuhimu," "harakati za kudai haki yetu" ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

"Mwisho, lakini siyo kwa umuhimu,"

"harakati za kudai haki yetu"

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
WAZAWA (@sirmin_ijeghaa) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wanao uliza kuhusu dhulma niliyofanyiwa na Sirjeff SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hii issue imeanza ivi Jeff alipost ponzi schemes akadai kuna watu wajinga waliibiwa ๐Ÿ’” kuna jamaa akamuambia hata yy amedhulumu watu wengi tuu kwa kampuni yake ya 360 Akajinadi kua kama yupo aliyedhulumiwa

Kwa wale wanao uliza kuhusu dhulma niliyofanyiwa na Sirjeff <a href="/Sirjeff_D/">SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ</a> 

Hii issue imeanza ivi Jeff alipost ponzi schemes akadai kuna watu wajinga waliibiwa ๐Ÿ’” kuna jamaa akamuambia hata yy amedhulumu watu wengi tuu kwa kampuni yake ya 360

Akajinadi kua kama yupo aliyedhulumiwa
Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Mwenyezi Mungu wewe ni mwingi wa Rehma. Asante kwa Baraka zako kwetu waja wako. Tunakukwaza na mengi ila huchoki kutubariki,huchoki kuturuzuku,huchoki kutukinga na hasadi,huchoki kutuepusha kwa maradhi....huchoki kutuepusha na misala ya kila aina. Alhamdulillah ๐Ÿ™

๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

SHEMEJI ALIVYOTAKA KUNIGOMBANISHA NA KAKA YANGU!! My brother, Abdul, ni mtu wa kazi sana, muda mwingi yupo bize na kazi. Ni fundi mkubwa wa magari hapa town na muda mwingi huwa yuko kwenye gereji au safari za hapa na pale. Miaka miwili iliyopita, bro alifunga ndoa na Amina,

SHEMEJI ALIVYOTAKA KUNIGOMBANISHA NA KAKA YANGU!! 

My brother, Abdul, ni mtu wa kazi sana, muda mwingi yupo bize na kazi. Ni fundi mkubwa wa magari hapa town na muda mwingi huwa yuko kwenye gereji au safari za hapa na pale. 

Miaka miwili iliyopita, bro alifunga ndoa na  Amina,
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kwa hizi Mvua zinazonyesha hapa Darโ€ฆ Kibanda cha yule jamaa sidhani kama kitabaki salama๐Ÿ˜… Tutegemee muda wowote Uzi wa Mficha uchi hazai๐Ÿ˜…๐Ÿ˜€