Johmakini (@johmakini) 's Twitter Profile
Johmakini

@johmakini

#Mrniceguy
ffm.to/qoex1j7

ID: 203020445

calendar_today15-10-2010 10:38:42

18,18K Tweet

211,211K Followers

241 Following

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Tumetunukiwa cheti cha Superbrand kama taasisi namba mbili yenye chapa kubwa nchini na namba moja kwa taasisi zinazojihusisha na michezo. Cheti hiki kimetolewa na Superbrands East Africa baada ya kufanyika utafiti kwa kushirikiana na shirika la utafiti la IPSOS. Taarifa zaidi

Tumetunukiwa cheti cha Superbrand kama taasisi namba mbili yenye chapa kubwa nchini na namba moja kwa taasisi zinazojihusisha na michezo.

Cheti hiki kimetolewa na Superbrands East Africa baada ya kufanyika utafiti kwa kushirikiana na shirika la utafiti la IPSOS. Taarifa zaidi
N E L L Y B 🦁 (@nellyblive) 's Twitter Profile Photo

Wimbo Wangu Bora Wa Hip Hop Wa Kushirikiana Kati Ya Males and Female Artist Kwa Swahil Hip Hop Ni KILIMANJARO By Johmakini Ft Lady JayDee & G Nako HI NI CLASIC SANA S/O To Big Sister JIDE Na All The Best Siku Ya Ijumaa Silver Concert 🙏📌❤️

Kikwatha Great (@kikwathag) 's Twitter Profile Photo

Johmakini — Nusu Nusu, Don’t Bother, Kata Leta, Furaha A real heavyweight in Swahili punchlines and global ambition. Flows clean, style smooth, delivery elite. One of the few who can rap with Nas or AKA and still stand tall. 💪 #RespectTheCraft 🔁 RT if you rate Joh Makini top 5

Johmakini (@johmakini) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA..account yangu ya telegram imekua hacked ukipokea link ama ujumbe wowote kutoka account hiyo usifungue watakua ni hao wahuni.

Apex Predator (@tzsaiboy) 's Twitter Profile Photo

chizzo drama Mabegani Msalaba wa Ndoto, Mtoto wa Maghetto Ziwe kweli zisiiishe Kisongo, Segerea ya Keko Juu ya Ukweli ndio nifie Najiona mimi yanapoanza MABADILIKO Fikra Potovu, BADILI hizo Ndoto siyo kuzikalia, Maskani Mkilialia Ndoto ni KUAMKA mbio Kuzikimbilia Heshima ~Johmakini

Oscar Malyagili (@malyagilioscar) 's Twitter Profile Photo

chizzo drama Johmakini is a legend, I’d go against anybody who’d go against him, to me-he’s on a pedestal, not to be compared to nobody, I can bet my life on him in this rap game!

HipHop (@tzclassicbars) 's Twitter Profile Photo

"Acha kutia huruma, tia bidii/ Acha kuleta lawama, siyo CV/ Chuki dhidi ya waliofanikiwa haisaidii/ Sioni vipi utabarikiwa kama hujisaidii/" Johmakini