JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile
JKHAN PRODUCTION

@jkhanvideo

Advatiser || CEO of Watanashati pro || Business man || Director

AM THE ONE WHO FIGHT AGAINST ANYTHING TO GET SOMETHING
A BIG FAN OF @YOUNG_AFRICAN_SC

ID: 1524686498641100801

calendar_today12-05-2022 09:43:10

16 Tweet

13 Followers

70 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Nyota wa klabu ya Asec Mimosas ya Ivory Coast Stephanie Aziz Ki anatarajiwa kuwasili Nchini usiku huu tayari kukamilisha uhamisho kwenda Yanga SC Aziz Ki (26) raia wa Burkina Faso alishaaga kwenye Klabu yake hiyo tayari kuanza maisha mapya ya soka akiwa na Yanga. #KitengeSports

Nyota wa klabu ya Asec Mimosas ya Ivory Coast Stephanie Aziz Ki anatarajiwa kuwasili Nchini usiku huu tayari kukamilisha uhamisho kwenda Yanga SC

Aziz Ki (26) raia wa Burkina Faso alishaaga kwenye Klabu yake hiyo tayari kuanza maisha mapya ya soka akiwa na Yanga.

#KitengeSports
JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Liverpool nadhan kesho watashindwa kuamka maana sio kwa uchovu wa kipigo Cha kikatili kama hchi walimcheka sana Man mwanzon sasa Man U kaamsha gari kwa speed ya MWISHO kabsa🤣🤣

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

Yesterday It's a History Tomorrow is a Mistery BUT TODAY IS A GIFT That's why l called a PRESENT #fikra_za_mtu_mweusi #usichoke_kuota by #jkhantz

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

Wakishua mtupishe kidogo Ukiachana na kula ugali na uji ni mboga gani nyingine umewahi tumia kulia ugali enzi hzo za zilipendwa 🤣🤣 #usichoke_kuota #fikra_za_mtu_mweusi #jkhantz

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING_NEWS Karim Benzema atakua nje ya uwanjani Takriban wiki 3 (3 weeks) kutokana na majeraha aliyoyapata katika mchezo waliocheza dhidi ya Celtic kwenye #UCL huku nafasi yake ikichukuliwa na Eden Hazard Match atakazo kosa ni ; Mallorca ;RB Leipzig ;Atletico Madrid ; Nk Jk

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

LOVE Means nothing without ACTION TRUTH Mean nothing without PROOF And SORRY Means nothing without CHANGE #USICHOKE_KUOTA #JKHANTZ

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

Do what gonna make you happy then let it go don't let it consume you 🤔 #live_like_u_die_tommorow #jkhantz #usichoke_kuota #tanzania

JKHAN PRODUCTION (@jkhanvideo) 's Twitter Profile Photo

Kitambulisho nishaandaa Wacha nisubiri hyo 29 October Mapema naenda kupiga kura wakati huo nishaandaa 50k yangu ya Bundle niweze jifungia ndan niingie Live nione Movie la kivita Live watu wanavyovunjwa miguu 🤣🤣🤣