Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile
Ambassador James G. Bwana

@jgbwana

Tanzania's High Commissioner to South Africa, Botswana & Lesotho | Dedicated to maintaining, sustaining & promoting friendly and mutual economic relations.

ID: 603113787

linkhttp://za.tzembassy.go.tz calendar_today08-06-2012 20:14:41

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Tanzania High Commission | Pretoria (@ubalozipretoria) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA (DIASPORA) NCHINI AFRIKA KUSINI (TACOSA) TAREHE 17 NA 18 MEI, 2025 Tarehe 17 na 18 Mei, 2025, Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ulishiriki katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania (Diaspora), wanaoishi Afrika Kusini (TACOSA).

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA (DIASPORA) NCHINI AFRIKA KUSINI (TACOSA) TAREHE 17 NA 18 MEI, 2025

Tarehe 17 na 18 Mei, 2025, Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ulishiriki katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania (Diaspora), wanaoishi Afrika Kusini (TACOSA).
Tanzania High Commission | Pretoria (@ubalozipretoria) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 22.05.2025 jijini Johannesburg, Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini uliendesha Mkutano wa kunadi fursa za Biashara na Uwekezaji zilizopo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Jumla ya Makampuni 42 ya Afrika Kusini yaliitikia Mwaliko wa Ubalozi na kushiriki. Katika

Leo tarehe 22.05.2025 jijini Johannesburg, Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini uliendesha Mkutano wa kunadi fursa za Biashara na Uwekezaji zilizopo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Jumla ya Makampuni 42 ya Afrika Kusini yaliitikia Mwaliko wa Ubalozi na kushiriki.

Katika
Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 23.05.2025 nimeongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano kati ya Ubalozi na Benki ya Investec ya Afrika Kusini. Dhumuni lilikuwa ni kufuatilia hatua iliyofikiwa katika kushughulikia ombi la Ubalozi kwa ajili ya Uwekezaji kutoka Benki hiyo kwa ajili ya Ujenzi wa Reli ya SGR

Today, I joined fellow Head of Diplomatic Missions accredited to the Republic of South Africa in congratulating H.E. Dr. Hussein, Chargè D'Affaires of the Embassy of Republic of Azerbaijan to South Africa, on their 107th National Day Celebrations (1918 - 2025). We got a moment

Today, I joined fellow Head of Diplomatic Missions accredited to the Republic of South Africa in congratulating H.E. Dr. Hussein, Chargè D'Affaires of the Embassy of Republic of Azerbaijan to South Africa, on their 107th National Day  Celebrations (1918 - 2025).  We got a moment
Tanzania High Commission | Pretoria (@ubalozipretoria) 's Twitter Profile Photo

Katika jitihada za Ubalozi kutafuta fursa za Elimu kwa Watanzania, leo tarehe 26 Mei, 2025, Mhe. Balozi Jame G. Bwana amefanya Mkutano na Timu ya Wataalam kutoka Mastercard Foundation Scholars Program ya Afrika Kusini, inayofanya kazi na Vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo Kikuu cha

Katika jitihada za Ubalozi kutafuta fursa za Elimu kwa Watanzania, leo tarehe 26 Mei, 2025, Mhe. Balozi Jame G. Bwana amefanya Mkutano  na Timu ya Wataalam kutoka Mastercard Foundation Scholars Program ya Afrika Kusini, inayofanya kazi na Vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo Kikuu cha
Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 27.05.2025 tumempokea Mwambata Jeshi mpya, Kanali Rashidi S. Omari. Tunamshukuru kwa dhati Brigedia Jenerali David J. Msakulo, ambaye amemaliza Utumishi wake Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini na kurejea katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa majukumu

Leo tarehe 03.06.2025, Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama nchini Afrika Kusini, kwa ajili ya Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa na Timu ya Taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) tarehe 06.06.2025 jijini Polokwane. Mara baada ya mechi hiyo,

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I am deeply saddened to learn of the passing of the former President of the Republic of Zambia, His Excellency Edgar Chagwa Lungu. On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend our heartfelt condolences to His Excellency, Hakainde

I am deeply saddened to learn of the passing of the former President of the Republic of Zambia, His Excellency Edgar Chagwa Lungu.

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend our heartfelt condolences to His Excellency, Hakainde
Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile Photo

Jioni hii nimepata fursa ya kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars na Benchi la Ufundi, wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Mpira wa Peter Mokaba uliopo Polokwane, Jimbo la Limpompo. Nimewatakia kila la kheri katika mchezo wa kesho dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini (Bafana

TFF TANZANIA (@tanfootball) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini James Bwana akizungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa TAIFA STARS baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) TAIFA STARS

Tanzania High Commission | Pretoria (@ubalozipretoria) 's Twitter Profile Photo

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA REIMETA ENGLISH MEDIUM WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, PRETORIA Leo tarehe 09 Juni, 2025, Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Reimeta English Medium kutoka Mpanda, Katavi - Tanzania, wametembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo Pretoria na kupokelewa

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA REIMETA ENGLISH MEDIUM WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, PRETORIA

Leo tarehe 09 Juni, 2025, Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Reimeta English Medium kutoka Mpanda, Katavi - Tanzania, wametembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo Pretoria na kupokelewa
Diplomacy South Africa (@diplomacy_sa) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Students from Reimeta English Medium Primary School, Mpanda, Katavi, visit Tanzanian High Commission in Pretoria on June 9. Welcomed by H.E. James Bwana, they learned about embassy roles & foreign policy during their South Africa study tour. 🧑‍🎓🇿🇦 📷 High Commission of Tanzania

🇹🇿 Students from Reimeta English Medium Primary School, Mpanda, Katavi, visit Tanzanian High Commission in Pretoria on June 9. Welcomed by H.E. James Bwana, they learned about embassy roles & foreign policy during their South Africa study tour. 🧑‍🎓🇿🇦
📷 High Commission of Tanzania
Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile Photo

Deepest condolences to the High Commission of the Republic of Zambia to the Republic of South Africa and to all Zambians, on the passing of H.E. Dr. Edgar Chagwa Lungu, the Sixth President of the Republic of Zambia. May his soul rest in eternal peace, Amen.

Deepest condolences to the High Commission of the Republic of Zambia to the Republic of South Africa and to all Zambians, on the passing of H.E. Dr. Edgar
Chagwa Lungu, the Sixth President of the Republic of Zambia. May his soul rest in eternal peace, Amen.
Ambassador James G. Bwana (@jgbwana) 's Twitter Profile Photo

Today, I received H.E. Amb. ALI ACHOUI, of the People's Democratic Republic of Algeria to South Africa, who paid a courtesy call. We discussed matters of mutual and bilateral interest and agreed to continue promoting the friendly ties between our countries.

Today, I received H.E. Amb. ALI ACHOUI, of the People's Democratic Republic of Algeria to South Africa, who paid a courtesy call. We discussed matters of mutual and bilateral interest and agreed to continue promoting the friendly ties between our countries.
Tanzania High Commission | Pretoria (@ubalozipretoria) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 18 Juni, 2025, Maafisa Waandamizi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi James Bwana. Maafisa hao kutoka TANROADS wapo nchini Afrika Kusini kwa Mafunzo. Wakati wa

Leo tarehe 18 Juni, 2025, Maafisa Waandamizi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi James Bwana. Maafisa hao kutoka TANROADS wapo nchini Afrika Kusini kwa Mafunzo.

Wakati wa