Behind the scenes. ๐ณ๐
Simba leaders werenโt happy after they saw that the match officials had a guest in their room.
African football.
#CAFCCwithMicky
#AfricanFootball
๐จ ๐ข๐๐๐๐๐๐๐: YANGA YATOA MASHARTI YAO ILI WACHEZE DERBY..!!
Klabu ya Yanga imemtaka Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao ajiuzulu, CEO wa Bodi ya Ligi TPLB, Almasi Kasongo ajiuzulu, Yanga pia imetaka Bodi ya uendeshaji wa ligi ivunjwe na Bodi ya Ligi TPLB iwe huru.
Mlinitukana niliposema Msimbazi kunawaka moto, vikao havijasaidia kupata suluhu na sasa wameanza kupeana matusi mazito hadharani. Huyu jamaa anajikutaga ni James Bond wa mpira wa Tanzania. Shida sio kanuni wala meneja. Watu wanaogopa kikosi cha Yanga. Nimelia mimi leo. ๐๐ฅน๐ฅฒ
Huyu jamaa amefanya jambo la busara sana ambalo limemuepushia matatizo chungu mzima. Sasa kama yupo serious anitafute tumu sue huyo dada kisawasawa Hadi apoteze chuo na huwezo huo ninao.
Kilicho muondoa Ngoma Simba SC, kuongoza migomo kwa wachezaji wenzake dhidi ya Uongozi ya malimbikizo ya Bonus na mishahara hasa kuelekea mechi kubwa
V Berkane Zanzibar
V Yanga kwa Mkapa
Kitendo hicho kilichukukuliwa kama utovu wa nidhamu na kukosa mapenzi na timu.
Mwizi aliyeiba vifaa vya timu ya media siku ya paredi pale Yanga ni huyu hapa. Tafadhali sambaza ujumbe huu kama kuna wanao mfahamu watupatie taarifa au wa ripoti kituo cha Polisi.
RT. ๐