Yeyote anayekupa connection ya kupata pesa, Automatically tayari ni family, Yeyote anayekupa mipango ya kupata ugali, moja kwa moja anakuwa damu yako, Tuwalinde watu wa haina hiyo, Maana ni adimu sana
Correct note : Ukiona kuna mchongo unamfaa mshkaji wako muunganishe nae 🤝
Don't give up
Dark time teach you a lot that's why you can't regret what you went through but rather be thankful for all the lessons it taught you some things break you to reveal all of your true strengths.