Jay Jay Nationalist (@jayjayn7) 's Twitter Profile
Jay Jay Nationalist

@jayjayn7

A Non-aligned Political Party Person | A Man with Free Mind | An Entrepreneur and Activist | A Die Hard Barcelona Fan | A Worshiper of Only one God.

ID: 833628196268544000

linkhttp://JayJayNationalist.co.tz calendar_today20-02-2017 10:43:44

19,19K Tweet

4,4K Takipçi

265 Takip Edilen

AfisaUsalama🕊 (@usalama_w_taifa) 's Twitter Profile Photo

●Mpendwa JPM rafiki yako Raila mda si mrefu atatangazwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya. ●Bila shaka utazidi kupumzika kwa aman

●Mpendwa JPM rafiki yako Raila mda si mrefu atatangazwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya.

●Bila shaka utazidi kupumzika kwa aman
El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

Jambo TV Unaweza kukuta video iliyovuja ya askari ni sehemu ya mipango ya wanaopush ajenda za upinde kufanya hayo masuala kuwa mjadala🚮……

El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

Baada ya matamko mbalimbali ya viongozi wa dini kitu kikubwa tunaweza kujifunza ni kuwa Imani ni silaha kubwa sana inayoweza kutumika ku brainwash watu wa kawaida ili kupenyeza jambo lolote la kisiasa. Mwisho wa siku Akili inabaki kwa muumini sasa😂😂😂

El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

Kwa kiasi kikubwa dini (imani) imekua inatumika kama kivuli cha mgogoro wa Israel na Palestina. Mataifa haya yanajua namna ya kuitumia hii propaganda vizuri. Ni mpaka uweze kuzuia hisia za kidini ndio unaweza kuelewa na kutoa hukumu ya haki. Religion is the opium of the people.

#DearNyerere uliwahi kusema "Utii ukizidi unakuwa UOGA. Uoga huzaa UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA mwisho wake ni MAUTI" Miaka mingi imepita ila somo hilo limekuwa gumu kueleweka, tumekuwa waoga, wanafiki na tunaojipendekeza huku tukiogopa MAUTI……… #NyerereDay

#DearNyerere uliwahi kusema "Utii ukizidi unakuwa UOGA. Uoga huzaa UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA mwisho wake ni MAUTI" Miaka mingi imepita ila somo hilo limekuwa gumu kueleweka, tumekuwa waoga, wanafiki na tunaojipendekeza huku tukiogopa MAUTI………
#NyerereDay
Rogers Masahi(Jr) (@rogersmasahi) 's Twitter Profile Photo

Eh Mungu naomba sana Mimi, familia yangu na washikaji zangu hata tuwe na shida kiasi gani ya hela, tusije kufikia hatua za hawa jamaa na kazi wanazo zifanya kama hizi… 🙏🏾🙏🏾 Amen. Cc .

Eh Mungu naomba sana Mimi, familia yangu na washikaji zangu hata tuwe na shida kiasi gani ya hela, tusije kufikia hatua za hawa jamaa na kazi wanazo zifanya kama hizi… 🙏🏾🙏🏾 Amen. Cc <a href="/chefprincy/">.</a>
El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

Old men declare war but it is the youth that must fight and die. Njaa inawafanya vijana wanawaparamia watu kizembe zembe tu bila hata kuwaza kuna kesho.

El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

HAUKO PEKE YAKO Moja kati ya nukuu za Rais ya Awamu ya pili wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi alizowahi kusema akiwa anamnukuu mtu mwingine ni hii "Maisha ya Mwanadamu ni Hadithi tu hapa ulimwenguni, basi ee ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa” Kila

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
El~Campeón (@victorchampoa) 's Twitter Profile Photo

Katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muhimu kuenzi na kuishi maono ya waasisi wa Muungano huu huku tukizidi kudumisha umoja na utanzania wetu. 🇹🇿 | #tanzania #zanzibar #muungano #union #unionday #miaka60pamoja🇹🇿

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU)  akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) katika Kituo cha Mikutano cha JNICC