JASON KIDINGA UNZUGU (@jasonkidinga) 's Twitter Profile
JASON KIDINGA UNZUGU

@jasonkidinga

A God fearing man. less talk and humble loves Music.A no nonsense Guy

ID: 3291236921

calendar_today20-05-2015 12:29:10

26,26K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Papa Leo XIV ametawazwa rasmi kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani, baada ya kuchaguliwa kufuatia kifo cha Papa Francis. #HapaNdipo

Papa Leo XIV ametawazwa rasmi kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani, baada ya kuchaguliwa kufuatia kifo cha Papa Francis.
#HapaNdipo
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

#Neno....BWANA AMEJAWA NA FARAJA. Isaya 51:1-3 Mungu anapokuita anakupa faraja, anatengeneza kulikoharibika, anaondoa ukiwa na analeta kicheko na furaha. Pokea baraka hii, Tukutane Galilaya! #HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili

#Neno....BWANA AMEJAWA NA FARAJA. Isaya 51:1-3
 Mungu anapokuita anakupa faraja, anatengeneza kulikoharibika, anaondoa ukiwa na analeta kicheko na furaha. Pokea baraka hii, Tukutane Galilaya!
#HapaNdipo #NuruNaEvahMwalili
Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

Glory to Jesus πŸ™!! Umeamkaje hapo Mwana Ligi na wikendi ilikuaje? Sasa tunapokea baraka za wiki, tunapenya pia katika anga ya shule zetu, serious business!! Karibu, hapa ndipo!! Mama Taifa Evah Mwalili Radio 47 #NurunaEvahMwalili #NurunaEvahMwalili

Glory to Jesus πŸ™!! Umeamkaje hapo Mwana Ligi na wikendi ilikuaje? Sasa tunapokea baraka za wiki, tunapenya pia katika anga ya shule zetu, serious business!! Karibu, hapa ndipo!! <a href="/EvahMwalili/">Mama Taifa Evah Mwalili</a> <a href="/Radio47_Kenya/">Radio 47</a> #NurunaEvahMwalili #NurunaEvahMwalili
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

#Neno...MUNGU HUWALINDA WENYE HAKI. Zaburi 37:27-29..Mwana Ligi achana na ubaya na utende wema, tenda haki, wacha Mungu Baba yako apendezwe na matendo yake nawe utafurahia, utahifadhiwa, uzao wako pia utahifadhiwa na utamiliki nchi! Barikiwa na Tukutane Galilaya! #HapaNdipo

#Neno...MUNGU HUWALINDA WENYE HAKI. Zaburi 37:27-29..Mwana Ligi achana na ubaya na utende wema, tenda haki, wacha Mungu Baba yako apendezwe na matendo yake nawe utafurahia, utahifadhiwa, uzao wako pia utahifadhiwa na utamiliki nchi! Barikiwa na Tukutane Galilaya!
#HapaNdipo
Mirror Football (@mirrorfootball) 's Twitter Profile Photo

Achraf Hakimi has been slammed for his "nonsense gimmick" after scoring vs Inter Milan 😳 mirror.co.uk/sport/football…

Achraf Hakimi has been slammed for his "nonsense gimmick" after scoring vs Inter Milan 😳

mirror.co.uk/sport/football…
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya Maskani 47 TBT Edition ukiwa naye Kamanda Billy Miya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Unatupata ukiwa wapi? #BillyNaMbaruk #HapaNdipo

Karibu ndani ya Maskani 47 TBT Edition ukiwa naye Kamanda Billy Miya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Unatupata ukiwa wapi?
#BillyNaMbaruk #HapaNdipo
BOB ORINA (@orinabob) 's Twitter Profile Photo

#nuru47jumapili Good morng from kitengela mama taifa Mama Taifa Evah Mwalili Tushaingia ndani ya nuru tayari kwa baraka blessed Sunday Radio 47 #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili #nuru47jumapili

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Karibisho la Ibada... Unahudhuria ibada wapi na saa ngapi? Leo kuna nini kinafanyika hapo kanisani? Share with us. #Nuru47Jumapili #HapaNdipoLeo,

Karibisho la Ibada...

Unahudhuria ibada wapi na saa ngapi? Leo kuna nini kinafanyika hapo kanisani? Share with us.
#Nuru47Jumapili #HapaNdipoLeo,
Dr. Miguna Miguna (@migunamiguna) 's Twitter Profile Photo

If you can’t protest wherever you areβ€”physically and electronicallyβ€”for Albert Ojwang’, you are one of the enemies we must deal with. Come out and march. Protest. Show your solidarity with Albert. We must get #Justice4AlbertOjwang #RutoMustGoNow #CallHisName

If you can’t protest wherever you areβ€”physically and electronicallyβ€”for Albert Ojwang’, you are one of the enemies we must deal with.

Come out and march. Protest. Show your solidarity with Albert. We must get #Justice4AlbertOjwang 
#RutoMustGoNow 
#CallHisName
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Yesu hangeweza kutenda miujiza nyumbani maana walimzoea na wakakataa injili yake. Usizoee neema za watu! Tukutane Galilaya! #HapaNdipo #MwashumbeNaMwakideu

Mama Taifa Evah Mwalili (@evahmwalili) 's Twitter Profile Photo

#Neno....AMINIKA KWA MADOGO! Mathayo 25:14-23...Part 1 Mungu hufurahia tunapowajibika kwa kile ameweka mikononi mwetu na anakiongezea. Unapolinda ulichopewa na Mungu hata kiwe kidogo namna gani, nyongeza bila shaka iko njiani ikija kwako! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili

Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume mmoja ameenda akacheat, kisha watoto wa kike wote wanaungana kutuita majina. Ni haki kweli? #HapaNdipo #BurdanSatoo