James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile
James Mbowe

@jamesmbowe4

ID: 1279439139985858565

calendar_today04-07-2020 15:37:32

1,1K Tweet

44,44K Followers

347 Following

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Kwa kauli alizotoa ndugu Amosi Makala dhidi ya Chadema, ni dhahiri Makala ana Shida ya Akili, wakimuwaisha Hospital anaweza kupona. Itoshe kusema ni kauli za kijinga na kipumbuvu, Shame on you ndugu Makala.

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Watu 11 wamejitokeza kuwania nafasi ya Uwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC), watu hao watafanyiwa Usahili wiki hii, Mwenye vigezo vinavyotakiwa basi anaweza kujitwalia nafasi hiyo. sasa njoo Tanzania Mwenyekiti anateuliwa na mtu ambae nae ni mchezaji.

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Tukio alilofanyiwa Mwenezi wa Bawacha Taifa Mwanasheria Sigrada Mligo siyo la kiuungwana wala kibinadamu. Kitendo cha chama kukaa kimya na leo ndio wanakuja na barua badala ya kukemea wahuni waliompiga Sigrada na kuwachukulia hatua wanasema wanachunguza kama ni kweli, sina neno

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Nimesikitishwa na Kesi ya Uhaini aliyofunguliwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Antiphas Lissu itakumbukwa Mashtaka ya namna hii hayana dhamana hivyo italazimika Mwenyekiti akae rumande hadi Kesi hii itakapomalizika.😭😭

Nimesikitishwa na Kesi ya Uhaini aliyofunguliwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> itakumbukwa Mashtaka ya namna hii hayana dhamana hivyo italazimika Mwenyekiti akae rumande hadi Kesi hii itakapomalizika.😭😭
James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kuwa chochote unachotaka maishani mwako. Muhimu Jiamini simamia ndoto zako, timiza Malengo. Usiyumbishwe na kelele za watu. Mjue sana Mungu ndipo hayo mema yatakapokujilia wewe.

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio na Mihemko havikai nyumba moja tulia focus na mipango yako, kelele za watu zisikutoe kwenye focus yako. Kumbuka neno moja Wanadamu wana Maneno lakini Mungu analo neno juu ya Maisha na mipango yako. Focus

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Ndiyo, ukimya pia ni jibu zuri mara nyingi. Mara nyingine ukimya unaweza kuonyesha busara, uvumilivu, au hata kukataa kuingilia katika mjadala usio na maana. Katika hali nyingi, kusema kidogo au kutosema chochote ni njia bora ya kuonyesha heshima na kutunza Amani.

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Mambo haya yataendelea mpaka lini? Who is next? Kwanini uonevu huu ni kwa Viongozi wa Chadema tu? Au Chadema siyo watanzania? Hivi mtu kama @hechejohn akiitwa Polisi atakaidi kuja? Utaratibu uliotumika kumkamata Tundulisu naona ndio huo huo umetumika kumkamata Heche, ingawa

James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa Amani ya Kristo Yesu Papa Francis. Umevipiga vita vizuri mwendo umemaliza na Imani uliilinda Upumzike kwa AmaniπŸ™πŸ™

Pumzika kwa Amani ya Kristo Yesu Papa Francis. Umevipiga vita vizuri mwendo umemaliza na Imani uliilinda Upumzike kwa AmaniπŸ™πŸ™
James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa. "Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa

Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.

"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa