Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile
Official Masengi Jr

@jamesdalto62983

Creative Storyteller |Football Analyst ⚽ |Content Creator 🎥 |Storytelling that unites brands & fans| 📩 DM for Collabs & Ads

ID: 1772889553197572096

calendar_today27-03-2024 07:33:35

516 Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Usajili wa wachezaji wazuri hauitaji makelele kama mnada wa sokoni kazi inaongea yenyewe, tusubiri balaa.Season hii wataita maji mmaaa kudadadeki 😀😀🙌

JOSHUA MUTALE Ni winga mwenye kasi sana, anaweza kuwatoroka mabeki kwa mbio na kutengeneza nafasi za mashambulizi. Simba yapeza osewera wabwino kwambiri. Kodi mukuti bwanji aZambia? Ku Tanzania amatchedwa SGR.✌️🤣

JOSHUA MUTALE 
Ni winga mwenye kasi sana, anaweza kuwatoroka mabeki kwa mbio na kutengeneza nafasi za mashambulizi.

Simba yapeza osewera wabwino kwambiri. Kodi mukuti bwanji aZambia?
Ku Tanzania amatchedwa SGR.✌️🤣
Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

A MIDFIELD ANCHOR Kiungo mkabaji mwenye akili nzuri zaidi ya umri wake , anajua kupunguza mashambulizi ya wapinzani, Yuko very Agressive Ni midfield anchor kwa sababu ana uwezo wa Kusimamia na kuimarisha safu ya kati ili kuzuia mashambulizi ya wapinzani. Masengi jr ✍️

A MIDFIELD ANCHOR
Kiungo mkabaji mwenye akili nzuri zaidi ya umri  wake , anajua kupunguza mashambulizi ya wapinzani, Yuko very Agressive 

Ni midfield anchor kwa sababu ana uwezo wa Kusimamia na kuimarisha safu ya kati ili kuzuia mashambulizi ya wapinzani.
Masengi jr ✍️
Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Mahusiano yanahitaji watu2 waliokomaa. Mkomavu hataki kushinda mabishano, bali kutafuta suluhisho.Mkomavu hatumii kimya kama adhabu,bali kama nafasi ya kutafakari. Kama mnapendana kweli,mtabaki pamoja,si kwa sababu hakuna matatizo,bali kwa sababu mnaamua kusolve matatizo pamoja

Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

✅ Nini cha kufanya kipindi cha pili? 1. Improve final third execution mipira ya mwisho iwe bora,kuongeza through ballsna mashambulizi ya haraka. 2 Add width tumia winga kupanua uwanja na kuongeza mashambulizi ya pembeni. 3. Take more meaningful shots badala ya kupiga piga2 ovyo

✅ Nini cha kufanya kipindi cha pili?
1. Improve final third execution
mipira ya mwisho iwe bora,kuongeza through ballsna mashambulizi ya haraka.
2 Add width
tumia winga kupanua uwanja na kuongeza mashambulizi ya pembeni.
3. Take more meaningful shots
badala ya kupiga piga2 ovyo
Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Kagoma ni aina ya mchezaji anayefanya kazi ngumu kimya kimya anakata mipira,banazuia hatari,na kuipa timu nafasi ya kupumua na kushambulia kwa utulivu. Ni aina ya kiungo anayeficha mapungufu ya wengine na kuweka timu sawa bila kelele.unaweza muita Shadow Midfield Yusuph Kagoma😁

Mfumo wa hisia za mapenzi ni kama mfumo wa sumaku.Nguvu ya mvutano huwa ni kubwa sana pale ambapo nishati kinzani zinapokutana. Athari ya mvutano huwa ni kubwa. Kama sumaku, mapenzi hayahitaji sababu yanavutana kwa hisia tu. lakini mvutano wake hujulikana na moyo.

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

🚨🦁 BREAKING NEWS CEO WA JAYRUT AFUNGUKA: JEZI MPYA ZA SIMBA 2025/26 LEVEL YA DUNIA! 🔥🐯 CEO wa kampuni ya Jayrut amesema Jezi mpya za Simba SC kwa msimu wa 2025/2026 zimekamilika kwa ubora wa hali ya juu, zikiwa na hadhi ya kimataifa! 🏆🇹🇿 Simba inazidi kwenda LEVEL YA DUNIA

🚨🦁 BREAKING NEWS

CEO WA JAYRUT AFUNGUKA: JEZI MPYA ZA SIMBA 2025/26 LEVEL YA DUNIA! 🔥🐯

CEO wa kampuni ya Jayrut amesema Jezi mpya za Simba SC kwa msimu wa 2025/2026 zimekamilika kwa ubora wa hali ya juu, zikiwa na hadhi ya kimataifa! 🏆🇹🇿
Simba inazidi kwenda LEVEL YA DUNIA
Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Kufanikiwa siyo bahati, siyo rahisi. Ni nidhamu,maumivu ya kimya, na juhudi zisizoonekana. Watu wengi wanataka matokeo, lakini hawataki safari ya maumivu.Kufanikiwa ni mzigo unaobebwa na wachache waliothubutu kuishi tofauti. Soma Tena ✍️

Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Kwenye familia Yako una ndugu ambao hao nao Wana familia zao na zinawategemea sana zaidi Yako,ko amka pambana ustupe lawama Kwa ndugu zako hao nao wana ndugu zao 😁 Soma Tena ✍️

Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Ufanisi haujengwi kwa bahati pekee, Kila jitihada,au mafunzo unayoyafanya leo hutoa matokeo makubwa kesho. Robert Kiyosaki katika kitabu chake Cha Rich Dad Poor Dad,anatufundisha kuwa kufanikisha maisha yako kunahitaji mpango,maarifa,na usikivu kwa fursa ndogo za kila siku.

Official Masengi Jr (@jamesdalto62983) 's Twitter Profile Photo

Kila kitu unachojifunza kinaongeza uwezo wako wa kufanya maamuzi bora. Dr. Seuss,katika kitabu chake Cha Oh, the Places You’ll Go! ,anatukumbusha kuwa elimu ni fursa isiyopotea ya kufanikisha maisha yenye maana. usichoke kutafuta maarifa mapya Kila siku yanafaida ya kudumu.