J A C K S O N (@jacksonsikimay) 's Twitter Profile
J A C K S O N

@jacksonsikimay

Born Again || Living Miracle || JESUS OVER EVERYTHING || Brother & Friend || #WordPress Websites Expert || Tech Man • YOUR CREATIVE PARTNER 🤝

ID: 822690008888967170

linkhttps://www.siki.co.tz calendar_today21-01-2017 06:19:17

20,20K Tweet

1,1K Takipçi

266 Takip Edilen

J A C K S O N (@jacksonsikimay) 's Twitter Profile Photo

I'll be still and know Know You are God You're right here with me Through all my troubles I'll be still and know Know You are God You are the light and rest for my soul You're God and I'll be still and know 🎶🎶

J A C K S O N (@jacksonsikimay) 's Twitter Profile Photo

Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtatoka nje, na kucheza-cheza kama ndama wa mazizini. - Malaki 4:2 #HappySunday

J A C K S O N (@jacksonsikimay) 's Twitter Profile Photo

Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, MPENDE JIRANI YAKO kama nafsi yako. - Warumi 13:9

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears 💙 Baraka yako ya kwanza ni wewe kuiona leo haijalishi mambo yakoje au unapitia nini Mungu kukuacha hai ni ishara tosha kwako kwamba bado kila kitu kinaweza kuwa sawa Mshukuru🙏 Na uendelee kujipambania bila kuchoka Amani iwe nawe Mungu akulinde🙏💙

Ms V I C T O R I A (@alsoknownasvee) 's Twitter Profile Photo

As a believer Hatutakiwi kutia huruma 🤗 Yesu Kristo alishatuhurumia kupita kiasi pale msalabani na tukiihitaji huruma tutaifuata Msalabani. Huku kwingine ni Ujasiri Bampa to Bampa , NO KUTIA HURUMA 🙌🏾💯😎

J A C K S O N (@jacksonsikimay) 's Twitter Profile Photo

Keep me true Lord Jesus keep me true Keep me true Lord Jesus Keep me true There's a race that I must run And there are victories to be won Give me power every hour to be true

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears❤️ Wanapost mafanikio yao tu ila hawata kuonyesha siku walizo feli kama unavyo feli leo hivyo usijione una balaa na mikosi au umelogwa endelea kufanya kazi kwa bidii DUA kwa sana na uhusiano mzuri na watu Muda una nguvu kubwa sana ya kubadilisha mambo kwenye maisha🥰