
Jackson William
@jackson21161399
ID: 1593345300478967810
17-11-2022 20:50:58
2,2K Tweet
33 Takipรงi
172 Takip Edilen

Tumeditate pamoja๐งโโ๏ธ Fedha ni chombo tu, si lengo la mwisho Najifunza kuitumia bila pupa na sifa nikielewa kuwa utajiri wa kweli haupimwi kwa fedha, bali kwa matendo ya wema Sitaki kuwa mtumwa wa mali, bali msimamizi wa baraka na maisha yangu yawe km shamba linalostawisha fedha




Nguvu Moja ๐ฆ๐ช๐ฝ Happy Birthday rashwan dirshad othm



SHOW ME THE WAY Shomari Kapombe Tanzania hajawahi tokea mlinzi wa pembeni mwenye Box movement za maana kama Shomari Kapombe ๐๐ปโฝ๏ธ Movement zake ndani ya box la mpinzani anawashinda mafowadi wengi tu ligi kuu. Msimu wa 2015/16 kama kumbukumbu zangu ziko sawa Kapombe aliwahi






