BABA G (@zachariajoshua_) 's Twitter Profile
BABA G

@zachariajoshua_

@Manutd | @yanga1935 | @FCBarcelona | Believer | Social | Humble |Father &Husband

ID: 1115024061619474437

calendar_today07-04-2019 22:50:27

20,20K Tweet

1,1K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Marco Mzumbe (@marcomzumbe) 's Twitter Profile Photo

🚨Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha makubaliano na mdhamini mpya wa klabu hiyo atayekaa kifuani kwenye Jezi zao kwa fedha itayoweka rekodi nchini. Taarifa zinaeleza kuwa Sportpesa hatokaa tena kifuani, atakaa mgongoni mwa Jezi kumpisha mdhamini mkuu mpya.

🚨Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho za  kukamilisha makubaliano na mdhamini mpya wa klabu hiyo atayekaa kifuani kwenye Jezi zao kwa fedha itayoweka rekodi nchini.

Taarifa zinaeleza kuwa Sportpesa hatokaa tena kifuani, atakaa mgongoni mwa Jezi kumpisha mdhamini mkuu mpya.
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Jana Usiku, Jux alishinda Tuzo za Headies kama The Best Eastern Artist. Sasa huku X, ukaibuka mjadala kuwa Jux kashinda tuzo hizo kwa kuwa amemuoa Mnigeria (priscilla) Shemeji akaanza kuruka nao wotee wanaomsema Vibaya mumewe! Shuka na uzi Tuangalie.. Video kwa Comments 👇

Jana Usiku,

Jux alishinda Tuzo za Headies kama The Best Eastern Artist.

Sasa huku X, ukaibuka mjadala kuwa Jux kashinda tuzo hizo kwa kuwa amemuoa Mnigeria (priscilla)

Shemeji akaanza kuruka nao wotee wanaomsema Vibaya mumewe!

Shuka na uzi Tuangalie..

Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Eliudi kajibu aliyoyasema Babalevo kuwa Comedian wa Tanzania wanarudia sana Vichekesho vyao kwenye Majukwaa Msikilize... Video kwa Comments 👇

Eliudi kajibu aliyoyasema Babalevo kuwa Comedian wa Tanzania wanarudia sana Vichekesho vyao kwenye Majukwaa

Msikilize...

Video kwa Comments 👇
Cardinal R. Sarah (@card_r_sarah) 's Twitter Profile Photo

« God cares for us, God loves all of us, and evil will not prevail ! We are all in God's hands. Therefore, without fear, united hand in hand with God and among ourselves, let us move forward. »

« God cares for us, God loves all of us, and evil will not prevail ! We are all in God's hands. Therefore, without fear, united hand in hand with God and among ourselves, let us move forward. »
Soka360 (@soka360tz) 's Twitter Profile Photo

Salford City imeachana na wachezaji 17 siku chache baada ya wamiliki wa klabu hiyo kubadilika. Itakuwa ikimilikiwa na David Beckham na Garry Neville Mtanzania Haji Mnoga amepata ofa ya mkataba mpya klabuni hapo baada ya kiwango bora ikiwa ni msimu wake wa kwanza na Ammiens

Salford City imeachana na wachezaji 17 siku chache baada ya wamiliki wa klabu hiyo kubadilika.

Itakuwa ikimilikiwa na David Beckham na Garry Neville

Mtanzania Haji Mnoga amepata ofa ya mkataba mpya klabuni hapo baada ya kiwango bora ikiwa ni msimu wake wa kwanza na Ammiens
Eng. Hersi Said (@caamil8) 's Twitter Profile Photo

Honored to be featured in African Leadership Magazine! Grateful for this incredible platform that showcases the brilliance and resilience of African leaders. Together, we inspire change and drive progress on a global scale. Let’s keep shining bright! African Leadership Magazine

Honored to be featured in African Leadership Magazine!

Grateful for this incredible platform that showcases the brilliance and resilience of African leaders. 

Together, we inspire change and drive progress on a global scale. Let’s keep shining bright!

<a href="/AfricanLM/">African Leadership Magazine</a>