Mabibo kwetu (@yazidually) 's Twitter Profile
Mabibo kwetu

@yazidually

Transport expert ||Young Africa ||man u ||

Note: Usiwe serious sana humu

ID: 1388014061477052416

calendar_today30-04-2021 06:16:14

16,16K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Mabibo kwetu (@yazidually) 's Twitter Profile Photo

Baadae anakuja bimkubwa anasema hiyo kodi haitokuwepo alafu watu wote wanashangilia bimkubwa anaupiga mwingi mi 10 tena Hii gemu bila D huwezi kuielewa

FreeLissu (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Repost please Hizi gari zipo Dar zinaenda Songea zipo tupu ni 20cbm kama una mzigo wa Iringa,Mafinga,Makambako au Songea usafiri huu hapa Call:+255768832035

Repost please 

Hizi gari zipo Dar zinaenda Songea zipo tupu ni 20cbm kama una mzigo wa Iringa,Mafinga,Makambako au Songea usafiri huu hapa 
Call:+255768832035
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Wakili Boniphace James kutoka Port Town Legal ameeleza makosa ambayo watu wengi hufanya wakati wanapotaka kununua ardhi na kupelekea migogoro ya ardhi.

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Ellie Mpanzu ana mkataba wa miaka 2 na Simba, na kwenye mkataba wake kulikuwa na kipengele ambacho timu kama itamuhitaji inabid itoe shilingi milion 300 tu watamchukua. Kuna timu hapa Tanzania imetoa milion 500 inamtaka Mpanzu 😭, Mpk sasa hakaripoti kambini bado wapo kwenye