Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimutz) 's Twitter Profile
Wizara ya Elimu Tanzania

@wizara_elimutz

This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.

ID: 707131141090885632

linkhttp://www.moe.go.tz calendar_today08-03-2016 09:09:36

2,2K Tweet

85,85K Takipçi

59 Takip Edilen

Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimutz) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakisikiliza Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayanansi na Teknolojia Mei 12, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Mei 12, 2025 Bungeni jijini Dodoma, wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mwaka 2025/26.

Prof. Daniel Mushi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Mei 12, 2025 Bungeni jijini Dodoma kufuatilia Uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo mwaka 2025/26.

SERIKALI KUANZISHA MFUMO WA TAKWIMU ZA ELIMU – PROF. MKENDA Waziri wa Elimu Prof. Mkenda amesema mfumo shirikishi wa takwimu za elimu utaimarisha huduma kwa kuunganishwa na mifumo ya NIDA, RITA, TAMISEMI n.k. Pia, ripoti ya kila mwaka ya elimu kuanza kutolewa.

SERIKALI KUANZISHA MFUMO WA TAKWIMU ZA ELIMU – PROF. MKENDA
Waziri wa Elimu Prof. Mkenda amesema mfumo shirikishi wa takwimu za elimu utaimarisha huduma kwa kuunganishwa na mifumo ya NIDA, RITA, TAMISEMI n.k. Pia, ripoti ya kila mwaka ya elimu kuanza kutolewa.
Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimutz) 's Twitter Profile Photo

“Ushirikiano huu unaonesha namna sekta binafsi inavyoweza kuchangia maendeleo ya elimu, sayansi na teknolojia nchini." - Prof. Mkenda

Uwekezaji wa CRDB kwenye elimu ya amali ni mchango mkubwa kwa Tanzania ya viwanda. Mhe. Dkt. Mpango #UzinduziUjenziShuleyaMfanoMkondowaAmali

Uwekezaji wa CRDB kwenye elimu ya amali ni mchango mkubwa kwa Tanzania ya viwanda.

Mhe. Dkt. Mpango
#UzinduziUjenziShuleyaMfanoMkondowaAmali
Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimutz) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa Kuimarisha Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (ESP) unatekelezwa ili kuboresha elimu ya ufundi na stadi, kwa kushirikiana na CICan na Wizara ya Elimu. Viongozi wanakutana Arusha kujadili mafanikio na changamoto za mradi huo ili mafunzo mahitaji ya soko la ajira.

Naibu Katibu Mkuu Dkt. Charles Mahera ameongoza kikao cha kupitisha maazimio na bajeti ya mwaka wa 6 ya mradi wa ESP (USD milioni 6). Serikali ya awamu ya 6 yaendelea kusukuma miradi endelevu ya kukuza ujuzi.

Wizara ya Elimu Tanzania (@wizara_elimutz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande baada ya kuwasili Visiwani Pemba Juni Mosi, 2025 kwa ajili ya ziara ya kikazi.