UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile
UONGOZI Institute

@uongozi

A government institution | Seeks to inspire African leaders and promote the recognition of the important role of leadership in sustainable development.

ID: 499721181

linkhttps://uongozi.go.tz calendar_today22-02-2012 12:06:46

6,6K Tweet

14,14K Takipçi

340 Takip Edilen

UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

We are pleased to announce that a book on the Late Edward Moringe Sokoine, Former Prime Minister of the United Republic of Tanzania, titled “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” will be launched on 30 September 2024 by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. #Sokoine

We are pleased to announce that a book on the Late Edward Moringe Sokoine, Former Prime Minister of the United Republic of Tanzania, titled “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” will be launched on 30 September 2024 by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan.

#Sokoine
Lusungu Mubofu (@theutdcode) 's Twitter Profile Photo

A biography on Edward Sokoine the former PM of Tanzania will be launched on 30th September 2024 I can't wait to see the book I am sure alot of folks will be eager to read it after the launch Cc Thomas J. Kibwana , Zitto MwamiRuyagwa Kabwe , Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga , Joel Ntile

Peter Dafi (@peterdafi) 's Twitter Profile Photo

UONGOZI Institute Sokoine University of Agriculture (SUA) Mkuki na Nyota Ukurasa Rasmi wa OR-UTUMISHI-Tanzania Nitoe Pongezi na Shukrani za Dhati kwa Wote mlo shiriki Kuanda kitabu Hiki, Hazina ya Maandishi kwa Historia ya Viongozi na Taifa letu bado inapaswa kufanywa Sana ili Kutunza Historia ya Kweli ya Taifa letu. Tusipo fanya hivi Wahuni watatuandikia Historia waipendayo wao.

Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

SUA tunayo furaha kuwatangazia kwamba kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” kitazinduliwa 30/9/2024 na Mhe. Dkt. Samia S. Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

SUA tunayo furaha kuwatangazia kwamba kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” kitazinduliwa 30/9/2024  na Mhe. Dkt. Samia S. Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

Jiunge nasi tukumbuke kiongozi shujaa, Edward Moringe Sokoine. Tunakukaribisha uzinduzi wa kitabu kipya kinachotufunulia ukurasa mpya wa historia yake, uongozi wake, na maono yake ya Tanzania. Usikose simulizi hii muhimu! Tafadhali kumbuka, uzinduzi huu ni kwa mwaliko maalum tu.

Jiunge nasi tukumbuke kiongozi shujaa, Edward Moringe Sokoine. Tunakukaribisha uzinduzi wa kitabu kipya kinachotufunulia ukurasa mpya wa historia yake, uongozi wake, na maono yake ya Tanzania. Usikose simulizi hii muhimu! Tafadhali kumbuka, uzinduzi huu ni kwa mwaliko maalum tu.
UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

Uongozi ni kuweka watu wako mbele. Moja ya sifa kubwa ya Hayati Edward Moringe Sokoine hasa kutoka kwa watu aliofanya nao kazi kwa karibu ni sifa ya kuwa “kiongozi wa watu” na mwenye uwezo wa kuhisi maono ya wengine (empathy). Asubuhi ya leo, Mhe. Anne Makinda, Spika Mstaafu

Uongozi ni kuweka watu wako mbele. 

Moja ya sifa kubwa ya Hayati Edward Moringe Sokoine hasa kutoka kwa watu aliofanya nao kazi kwa karibu ni sifa ya kuwa “kiongozi wa watu” na mwenye uwezo wa kuhisi maono ya wengine (empathy). 

Asubuhi ya leo, Mhe. Anne Makinda, Spika Mstaafu
Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

It was a pleasure to participate in Uongozi Institute's Mazungumzo na Mhe Anne Makinda: Mafundisho Kutoka Kwa Hayati Edward Moringe Sokoine en route to the official launch of the late Prime Minister's biography on the 30th of September. Hon. Makinda worked under Prime Minister

It was a pleasure to participate in Uongozi Institute's Mazungumzo na Mhe Anne Makinda: Mafundisho Kutoka Kwa Hayati Edward Moringe Sokoine en route to the official launch of the late Prime Minister's biography on the 30th of September.

Hon. Makinda worked under  Prime Minister
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

I’m thrilled to have received an invitation to attend the book launch event honoring the late Edward Moringe Sokoine. UONGOZI Institute is doing remarkable work in preserving Tanzania’s history through publishing books like these ones, ensuring that this wealth of knowledge is accessible