Tukuza Coy (@tukuzahc) 's Twitter Profile
Tukuza Coy

@tukuzahc

ID: 1699106397919510532

calendar_today05-09-2023 17:08:16

415 Tweet

211 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Tukuza Coy (@tukuzahc) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu ana haki ya kuishi huru na kutoa maoni yake, hata kama hayampendezi mtu mingine, Hii ni haki ya kikatiba, na ya kibinadamu.

Kila mtu ana haki ya kuishi huru na kutoa maoni yake, hata kama hayampendezi mtu mingine, Hii ni haki ya kikatiba, na ya kibinadamu.
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Kwanini tuna Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala? Tun Mkuu wa Wilaya, DED na DAS, why, wote hawa wanini? Kila mmoja hapo ana gari ya zaidi ya 100m, anawekewa mafuta, mshahara mnono na nyuma ya serikali. Tukishughulikia haya matumizi yasiyo ya lazima, tutaacha kukopa nje.

Tukuza Coy (@tukuzahc) 's Twitter Profile Photo

#Kumbukizi "Mdomo Kazi yake ni Kusema na WAPINZANI Sio Maadaui wa Nchi, kwanin niwafunge Wakati wanatusaidia Kutuonyesha Panapo Vuja, nitawafunga Wangapi ikiwa kila Siku Kuna Kundi Jipya linaisema Serikal ya Awamu ya Nne. Hivyo acha Wakosoe coz wanatukumbusha :~Jk Mrisho Kikwete.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Naomba upitie Ujumbe huu halafu tutafakari kwa pamoja namna ya kutoka hapa tulipo.Tufikiri kwa uhuru nje ya vyeo vyetu,nafasi zetu,vyama vyetu au maslahi yetu Binafsi. NANI ALAUMIWE? Katika tafakuri ya kina kuhusu hali ya sasa ya Taifa letu, maswali haya ni ya msingi katika

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Ni zaidi ya miaka 30 sasa kumekuwepo na migogoro ambayo ni tunda la uvunjifu wa haki za binadamu wa hali ya juu na uvunjifu wa sheria hali ambayo inajenga hofu kwenye jamii. Migogoro hii imesababisha watu kuuwawa, watu kupotea, watu kutupwa gerezani bila hatia, watu kuteswa na

"Ni zaidi ya miaka 30 sasa kumekuwepo na migogoro ambayo ni tunda la uvunjifu wa haki za binadamu wa hali ya juu na uvunjifu wa sheria hali ambayo inajenga hofu kwenye jamii. Migogoro hii imesababisha watu kuuwawa, watu kupotea, watu kutupwa gerezani bila hatia, watu kuteswa na
Tukuza Coy (@tukuzahc) 's Twitter Profile Photo

Rais Jakaya Kikwete aliponye Taifa! Utekaji, Mauaji, Udhalilishaji, Unyanyasaji, Ukandamizaji na Kila aina ya uonevu unaofanyika nchini kwa watu wenye mawazo kinzani ni wa kutisha, KULIKO awamu yyte, kabla na baada ya uhuru! Kikwete ni Rais pekee mstaafu! Asinyamaze!! Mange Kimambi

Rais <a href="/jmkikwete/">Jakaya Kikwete</a> aliponye Taifa! Utekaji, Mauaji, Udhalilishaji, Unyanyasaji, Ukandamizaji na Kila aina ya uonevu unaofanyika nchini kwa watu wenye mawazo kinzani ni wa kutisha, KULIKO awamu yyte, kabla na baada ya uhuru! Kikwete ni Rais pekee mstaafu! Asinyamaze!! <a href="/mangekimambi/">Mange Kimambi</a>
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Unamsikia binti anasema “Mimi siasa sio vitu vyangu”😁 Kikubwa nakula nashiba nalala naamka! Au kijana wa maana kabisa anakwambia “Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda” Kikubwa uhai tu!!😁 Binti au kijana huyo huyo akienda kupanda mwendokasi akakutana na

Agather Atuhaire (@aagather) 's Twitter Profile Photo

Appreciation Sunday: I am grateful that I’m loved by most and definitely the best. I want to once again thank everyone that raised their voices, both big and small during the horrific ordeal I and The People’s Watchman experienced. To family, friends & those who love and care for us

Appreciation Sunday: I am grateful that I’m loved by most and definitely the best. I want to once again thank everyone that raised their voices, both big and small during the horrific ordeal I and <a href="/bonifacemwangi/">The People’s Watchman</a> experienced. To family, friends &amp; those who love and care for us
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Hi No Reforms No Election ndo njia pekee yakuleta mabadiliko bila ku mwaga damu tume tumia akili kama mwalimu Nyerere 🙌 #NoReformsNoElection Chapa Repost.. Repost 🤞

Hi No Reforms No Election ndo njia pekee yakuleta mabadiliko bila ku mwaga damu tume tumia akili kama mwalimu Nyerere 🙌 

#NoReformsNoElection 

Chapa Repost.. Repost 🤞
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kila siku nawaambia "USANII NI NGAZI YA KUTENGENEZA MASKINI WENYE MAJINA MAKUBWA". Wasanii, Watu MAARUFU hawa ni VIBAKA ambao wana njaa sana kwenye hili taifa. Na wengi vichwani hamna kitu. Leo makanisa na misikiti inalia UTEKAJI unaoendelea kwenye taifa, hao wasanii sijui

Arusha King👑 (@arusha_king) 's Twitter Profile Photo

Humu X Kuna Ungese Sana, Unaweka Post Ya #NoReformsNoElection Kwa Uzalendo, Unajikuta Umelike na Kurepost Peke Yako!!😂😂😂 Anyway, Ngoja Tuone Na Hii Kama Mtaacha Kurepost!✌️👇

Humu X Kuna Ungese Sana, Unaweka Post Ya #NoReformsNoElection Kwa Uzalendo,  Unajikuta Umelike na Kurepost Peke Yako!!😂😂😂

Anyway, Ngoja Tuone Na Hii Kama Mtaacha Kurepost!✌️👇