TRAVELLER_0115 (@trevorsix1) 's Twitter Profile
TRAVELLER_0115

@trevorsix1

Vet Doc.| Free Thinker| Writer| Entrepreneur| DREAMER 🔥🇰🇪

ID: 1255411104131485697

calendar_today29-04-2020 08:19:03

2,2K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

McMooooger ! (@vet_doctor87) 's Twitter Profile Photo

Dear God, najua nipo kama kumbukumbu mbaya kwa baadhi ya watu lakini hiyo haibadirishi maana kwamba kwa baadhi ya watu nilifanyika baraka. Nikumbushe kusahau mapito yangu mabaya katika kuutafuta utimilifu, zaidi niepushe na kupoteza muda kuwaza muda niloupoteza huko nyuma. Amen

TRAVELLER_0115 (@trevorsix1) 's Twitter Profile Photo

U smart unaongeza watu ambao wanataka kufanana na wewe, unaongeza uaminifu watu wanakuamini sana, pia una ongeza thamani yako.

TRAVELLER_0115 (@trevorsix1) 's Twitter Profile Photo

DELASKA: AGENTS Click the link below to register and start earning app.zuricashagency.co.tz/register?ref=U… via @DELASKA

TRAVELLER_0115 (@trevorsix1) 's Twitter Profile Photo

Mtaani madereva wana semaga uki mgonga MTU kwa bahati mbaya ni bora afariki kuliko kumjeruhi vibaya, Sasa balaa ugonge twiga bahati mbaya afariki hapo umeyakanyaga mzee.

TRAVELLER_0115 (@trevorsix1) 's Twitter Profile Photo

Ni mbaya Sana ukapata changamoto za kimaisha afu ukaenda kujiskilizia kwa ndugu ama jamaa halafu inafika point mwenyeji wako asione umuhimu wa wewe kuwepo mahali pale, PLAY NICE.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Waambie Wanangu michongo mingi haitolewi kisa UWEZO bali KUJUANA tu, kuna muda utafika game itapoteza mvuto kwakuwa the Best wamekata tamaa, keep pushing Wanangu wote.