Ligi Kuu (@tplboard) 's Twitter Profile
Ligi Kuu

@tplboard

The Official Tanzania Premier League Board X Account

ID: 987239375615549441

linkhttp://www.ligikuu.co.tz calendar_today20-04-2018 07:59:43

8,8K Tweet

200,200K Takipçi

71 Takip Edilen

Ligi Kuu (@tplboard) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almasi Kasongo leo Septemba 4, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa Dar Soccer Academy, Masuma Fazal kwenye ofisi za Bodi, Ilala - Dar as Salaam. @tanfootball Ligi Kuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Almasi Kasongo leo Septemba 4, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa Dar Soccer Academy, Masuma Fazal kwenye ofisi za Bodi, Ilala - Dar as Salaam.

@tanfootball <a href="/tplboard/">Ligi Kuu</a>
Ligi Kuu (@tplboard) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Steven Mnguto leo Septemba 5, 2024 amefungua kikao cha watendaji wakuu wa klabu za #ligikuu ya NBCTanzania na Bodi ya Ligi Kuu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Crowne Plaza, Dar es Salaam. @tanfootball Ligi Kuu NBCTanzania

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Steven Mnguto leo Septemba 5, 2024 amefungua kikao cha watendaji wakuu wa klabu za #ligikuu ya <a href="/NBCTanzania/">NBCTanzania</a> na Bodi ya Ligi Kuu  kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Crowne Plaza, Dar es Salaam.

@tanfootball <a href="/tplboard/">Ligi Kuu</a>  <a href="/NBCTanzania/">NBCTanzania</a>