Stär müllër🇹🇿 (@thomas07761616) 's Twitter Profile
Stär müllër🇹🇿

@thomas07761616

From muheza tanga tz🇹🇿

ID: 1482344759645589505

calendar_today15-01-2022 13:32:11

540 Tweet

1,1K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Man City Swahili🇹🇿 (@mancityswahili1) 's Twitter Profile Photo

Jack aungana na wachezaji wenzake mazoezini kuelekea mechi ya leo dhidi ya Liverpool katika kombe la EFL (Carabao). Kama haupo WhatsApp kwenye group la familia ya City, please Retweet hapa na utume namba yako DM uwe added. Good morning

Jack aungana na wachezaji wenzake mazoezini kuelekea mechi ya leo dhidi ya Liverpool katika kombe la EFL (Carabao).

Kama haupo WhatsApp kwenye group la familia ya City, please Retweet hapa na utume namba yako DM uwe added.

Good morning
Man City Swahili🇹🇿 (@mancityswahili1) 's Twitter Profile Photo

Tupo katika hatua ya ku-print majina ya wale waliojisajili awali na kadi zao kuja hapa Dar es Salaam zikitokea kule City HQ. Kadi hizi tutazigawa siku ya tarehe 3 Dec siku ya event, ambao hamjasajiliwa mtapewa maelekezo kule WhatsApp Retweet kisha tuma namba yako DM ujumuishwe

Tupo katika hatua ya ku-print majina ya wale waliojisajili awali na kadi zao kuja hapa Dar es Salaam zikitokea kule City HQ.

Kadi hizi tutazigawa siku ya tarehe 3 Dec siku ya event, ambao hamjasajiliwa mtapewa maelekezo kule WhatsApp 

Retweet kisha tuma namba yako DM ujumuishwe
Man City Swahili🇹🇿 (@mancityswahili1) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Manchester City mliojiandika kwenye zoezi la kupata kadi na kadi yako ikaja toka Man City HQ ila bado hujaipata naomba uweke hapo chini comment mahali ukipo. Ambao bado hamjajiandikisha tafadhali RETWEET HAPA na utume namba yako ya WhatsApp pale DM

Mashabiki wa Manchester City mliojiandika kwenye zoezi la kupata kadi na kadi yako ikaja toka Man City HQ ila bado hujaipata naomba uweke hapo chini comment mahali ukipo.

Ambao bado hamjajiandikisha tafadhali RETWEET HAPA na utume namba yako ya WhatsApp pale DM