Thinktank_tz
@thinktank_tz
social Marketing Agency
ID: 1269918214605209600
08-06-2020 09:05:06
113 Tweet
28 Takipรงi
69 Takip Edilen
#shindanolamapishi linaendelea! Leo ni zamu ya mlo mkuu (main meal).Onyesha ujuzi wa kupika viazi, rekodi video ya dk 1, ukituambia jina la chakula kisha tag NLAgriTanzania & Thinktank_tz Dish lenye mvuto zaidi kushinda!kundi hili litafungwa leo 23:59pm #shindanolamapishi
Show off your mind-blowing potato-based main dishes. Record a 1-minute video, caption the dish name and #shindanolamapishi, then, follow and tag NLAgriTanzania, @netherlandsintanzania, and Thinktank_tz. The most inventive main dish wins! Entries close Tuesday 06/08 11:59pm.
Day 3: Show off your mind-blowing potato-based main dishes - boiled, baked, roasted, or a vegan curry. Record a 1-minute video, caption the dish name and #shindanolamapishi, then, follow and tag NLAgriTanzania, @netherlandsintanzania, Entries close Tuesday 11:59pm.
#shindanolamapishi linaendelea, kesho ndio siku ya mwisho! Onyesha ujuzi wa kupika viazi, rekodi video ya dk 1, ukituambia jina la chakula, follow & tag NLAgriTanzania & Thinktank_tz Dish lenye mvuto zaidi kushinda! #shindanolamapishi Follow NLAgriTanzania for more details
Je wewe ni mkali wa mapishi? ๐ฅ Shindano la mapishi linaendelea, kesho ndio siku ya mwisho! Onyesha ujuzi wa kupika viazi, rekodi video ya dk 1, ukituambia jina la chakula, follow & tag NLAgriTanzania & Thinktank_tz Dish lenye mvuto zaidi kushinda! #ShindanoLaMapishi
Je wewe ni mkali wa mapishi? ๐ฅ Shindano la mapishi linaendelea, kesho ndio siku ya mwisho! Onyesha ujuzi wa kupika viazi, rekodi video ya dk 1, ukituambia jina la chakula, follow & tag NLAgriTanzania & Thinktank_tz Dish lenye mvuto zaidi kushinda! #ShindanoLaMapishi
Tena wewe Chips Mayai ulitakiwa uwe wa kwanza kushiriki hili shindano
#shindanolamapishi linafungwa leo kibabe saana! Leo ni siku ya wakali wa dessert za viazi!Rekodi video ya dk 1 tuambie jina la chakula chako na #shindanolamapishi follow @NLagritanzania, Thinktank_tz Shindano hili litafungwa leo J5, saa 23:59.Mshindi atatangazwa tarehe 8/8/2024
Shindano la mapishi linafungwa leo kibabe saana! Leo ni siku ya wakali wa dessert za viazi Rekodi video ya dk 1 tuambie jina la chakula chako na #Shindanolamapishi follow NLAgriTanzania, Thinktank_tz Shindano hili litafungwa leo J5, saa 23:59.Mshindi atatangazwa tarehe 8/8/2024
Mchuano wa #shindanolamapishi ya viazi mviringo ulikuwa mkali sana! Asante kwa wote walioshiriki! Kaa tayari kupokea washindi wa #shindanolamapishi fuatilia zaidi kupitia NLAgriTanzania #shindanolamapishi
Mchuano wa shindano la mapishi ya viazi mviringo ulikuwa mkali sana! Asante kwa wote walioshiriki! Kaa tayari kupokea washindi wa #shindanolamapishi fuatilia zaidi kupitia NLAgriTanzania #shindanolamapishi
Tunapenda pia kutoa special recognition kwa wale wote walioonyesha efforts, timu itawasiliana nanyi na kila mmoja wenu atapata kitabu cha mapishi ya viazi mviringo. Hongera sana TricyLove๐ฆ #shindanolamapishi
Hongera kwa washindi wa Potato Recipe Challenge! Ushindani ulikuwa wa hali ya juu, na ubunifu wenu umewasha moto wa mapishi! Asanteni wote mliochangia na kushiriki, tukutane tena msimu ujao kwa mapishi ya kipekee zaidi. #ShindanoLaMapishi NLAgriTanzania Thinktank_tz