TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile
TBCOnline

@tbconlinetz

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika

ID: 2306274450

linkhttp://www.tbc.go.tz calendar_today23-01-2014 09:37:16

23,23K Tweet

123,123K Takipçi

15 Takip Edilen

TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga, zoezi linalokamilika kesho Septemba 10, 2024. 👇👇👇 instagram.com/reel/C_tP5WgOj…

Wananchi mkoani Manyara  wametakiwa kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga, zoezi linalokamilika kesho Septemba 10, 2024.

👇👇👇

instagram.com/reel/C_tP5WgOj…
TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya soka, Hemed Morocco amesema wako vizuri na wana matumaini makubwa ya kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Guinea ili kuamsha matumaini ya kufuzu kwa michuano ya AFCON ya mwaka 2025. 👇👇👇 instagram.com/reel/C_tSCIlON…

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya soka, Hemed Morocco amesema wako vizuri na wana matumaini makubwa ya kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Guinea ili kuamsha matumaini ya kufuzu kwa michuano ya AFCON ya mwaka 2025.

👇👇👇

instagram.com/reel/C_tSCIlON…
TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Habari kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu Septemba 09, 2024 👇🏾👇🏾👇🏾 instagram.com/p/C_tcgZLTikP/…

Habari kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu Septemba 09, 2024

👇🏾👇🏾👇🏾

instagram.com/p/C_tcgZLTikP/…
TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Usikose Wekeza Tanzania wiki hii ambapo tunaangazia uwekezaji wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Dodoma. Wekeza Tanzania ni kila Jumanne saa 12:00 jioni na marudio Jumatano saa 7:30 mchana na kwenye ukarasa wa YouTube wa tbconline.

TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia. Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari katika eneo la Maji ya Chai mkoani Arusha.

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia.

Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Septemba 10, 2024 baada ya kugongwa na gari katika eneo la Maji ya Chai mkoani Arusha.
TBCOnline (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) Plasduce Mbossa, leo Septemba 09,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Shirika la Meli la COSCO la nchini China, YangFan Chen kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baina ya TPA na COSCO.

Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limepanga kutumia Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya kutekeleza miradi 20 ya wafanyabiashara wadogo ijulikanayo kama Funguo Programs.

Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limepanga kutumia Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya kutekeleza miradi 20 ya wafanyabiashara wadogo ijulikanayo kama Funguo Programs.