Chama cha Tanzania Radiology Society (TARASO) kimewakilishwa na Dr.Rahma Hingora daktari bigwa wa fani ya Radiologia ( radiologist) wa M.O.I katika kuunga mkono juhudi za Rais SSH kufikia lengo la Afya bora kwa wote ni Mkutano mkubwa wa Afya ulioshirikisha wadau mbali mbali.