Simba SC Fan Page🦁 (@simbascfanspage) 's Twitter Profile
Simba SC Fan Page🦁

@simbascfanspage

Official page for Simba Sports Club fans, covers all about @SimbaSCTanzania @SimbaQueens & @SimbaYouthtz. We love our Team🦁⚪️🔴 #UbayaUbwela #NguvuMoja 💪

ID: 1672885063

linkhttp://simbasc.co.tz calendar_today15-08-2013 10:35:47

27,27K Tweet

33,33K Takipçi

65 Takip Edilen

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Namna tunaimaliza Jumatano katika tiketi za mchezo wa Jumapili. Kasi ya ununuaji ni kubwa hivyo fanya uwezavyo upate tiketi mapema. #WenyeNchi #NguvuMoja

Namna tunaimaliza Jumatano katika tiketi za mchezo wa Jumapili.

Kasi ya ununuaji ni kubwa hivyo fanya uwezavyo upate tiketi mapema. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja

Simba SC Fan Page🦁 (@simbascfanspage) 's Twitter Profile Photo

🔥 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐏𝐈𝐋𝐈 𝐓𝐔𝐓𝐀𝐖𝐀𝐊𝐀𝐀𝐍𝐆𝐀 🔥 1. Camara 2. Kapombe 3. Zimbwe 4. Hamza 5. Che Malone 6. Kagoma 7. Mukwala 8. Fernandez 9. Ateba 10. Ahua 11. Mutale Nina waambia wa Libya tutawakaanga 4 kwa sifuri.....Kama wewe niwanasimba kweli kata tiketi tukaijaze Mkapa

🔥 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐏𝐈𝐋𝐈 𝐓𝐔𝐓𝐀𝐖𝐀𝐊𝐀𝐀𝐍𝐆𝐀 🔥

1. Camara
2. Kapombe 
3. Zimbwe
4. Hamza
5. Che Malone 
6. Kagoma 
7. Mukwala
8. Fernandez 
9. Ateba
10. Ahua
11. Mutale

Nina waambia wa Libya tutawakaanga 4 kwa sifuri.....Kama wewe niwanasimba kweli kata tiketi tukaijaze Mkapa
Simba SC Fan Page🦁 (@simbascfanspage) 's Twitter Profile Photo

TUONGEZE KASI WANASIMBA TUKUMBUKE HII MECHI INATUHITAJI SASA SISI MASHABIKI TUZISHAMBULIAJE SANA HIZO TIKETI MPAKA ZIISHE ZOTE. #UbayaUbwela #WenyeNchi #NguvuMoja

TUONGEZE KASI WANASIMBA TUKUMBUKE HII MECHI INATUHITAJI SASA SISI MASHABIKI

TUZISHAMBULIAJE SANA HIZO TIKETI MPAKA ZIISHE ZOTE.
#UbayaUbwela #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwanasimba ambaye bado hujanunua tiketi unasubiri nini? Tunakuhitaji uwanjani Jumapili hii. Fika vituoni kununua tiketi au nunua kwa njia ya mtandao. #WenyeNchi #NguvuMoja

Mwanasimba ambaye bado hujanunua tiketi unasubiri nini?

Tunakuhitaji uwanjani Jumapili hii. Fika vituoni kununua tiketi au nunua kwa njia ya mtandao. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

"Wanasimba nyie ndio mmeipeleka timu mara tano hatua ya makundi na sasa kila Mwanasimba atambue ana kazi ya kuipeleka hatua ya makundi mara ya sita. Sio kazi ya Mo Dewji, sio kazi ya Mangungu ni kazi ya kila Mwanasimba. Muhimu ni Jumapili kuja uwanjani."- Ahmed Ally. #WenyeNchi