Saidi Jumaa (@saidijumaa10) 's Twitter Profile
Saidi Jumaa

@saidijumaa10

ID: 1557011387800588289

calendar_today09-08-2022 14:30:26

8,8K Tweet

3,3K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Saidi Jumaa (@saidijumaa10) 's Twitter Profile Photo

Nyie pia hamtakua salama kwakuchochea ndugu zetu wakafanye vurugu ikiwa nyie mpo Nairobi damu za hawa ndugu zetu zitawalilia sana

✺𝑴𝒂𝒓𝒊𝒂𝒎❅ (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

𝙃𝙚𝙘𝙝𝙚 Wa Tarime kafikaje Kenya? Heche ‘Mzee wa Kuvuka Boda’. Muda huu Heche tayari anakula sehemu ya pesa za ‘Mabeberu’ Mwamba ameshavuka Boda yupo zake Nairobi, anaenda kunenepesha shavu kwa mgongo wa CDM. Je tunaweza kusema kiongozi mkuu wa Chadema ameanza ‘Vakesheni’

𝙃𝙚𝙘𝙝𝙚 Wa Tarime kafikaje Kenya?

Heche ‘Mzee wa Kuvuka Boda’.  Muda huu Heche tayari anakula sehemu ya pesa za ‘Mabeberu’

Mwamba ameshavuka Boda yupo zake Nairobi, anaenda kunenepesha shavu kwa mgongo wa CDM.

Je tunaweza kusema kiongozi mkuu wa Chadema ameanza ‘Vakesheni’
Evarist Bahaye (@ebahaye44109) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday dear sister Hilda Newton mwanamke jasiri mwenye misimamo, mpigania haki Mungu akutunze sana mpaka haki itawale kwenye Taifa hili #HappybirthdayToYou🍔🍽🍾🥂

Happy birthday dear sister <a href="/HildaNewton21/">Hilda Newton</a> mwanamke jasiri mwenye misimamo, mpigania haki Mungu akutunze sana mpaka haki itawale kwenye Taifa hili 

#HappybirthdayToYou🍔🍽🍾🥂
Kassim Abdallah (@mwalim_junior) 's Twitter Profile Photo

Ila kaka muda mwengine unafikiriaha tuache kupenda kujipa umuhimu kwa kila kitu mapambano sio lazima uwe ndani ya chama chenu. Pia kaka huwezi kupambana mbali ukashinda njoo nyumbani tuunganishe nguvu