SITE TV
@rssereed
ID: 1230871274362220544
21-02-2020 15:06:14
1,1K Tweet
93 Takipçi
49 Takip Edilen
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameiagiza Halmashauri ya wilaya ya Kyela ianze kuzitumia Mil:30 kujenga Shule ya Cacao Girls Sec:School,Ni baada ya kutolewa na Taasisi ya Tulia Trust kwaajiri ya ujenzi wa Bweni la shule ya Sekondari Ipinda na kukaa zaidi ya mwaka bila kutumika.
#News Ni Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh:Kassim Majaliwa Majaliwa ambaye amewasili tayari Mkoani Mbeya na kupokelewa na Mwenyeji wake @Jumahomera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwaajiri ya ziara ya Kikazi ya siku mbili kwa wilaya ya Mbeya na Mbarali. #Tukutanesite