ndalahwa pastory
@p30255
ID: 1638248984266575872
21-03-2023 18:39:59
19 Tweet
0 Takipçi
37 Takip Edilen
Ujumbe wa Tanzania katika Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ukiongozwa na Naibu Waziri MFA Tanzania Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Baraza hilo jijini Luanda, Angola tarehe 11 Machi, 2024.