Kumbuka utakutana na wanaume wanaofanya vizuri kuliko mwanaume wako. Utakutana na wanawake warembo zaidi, wazuri na wenye bidii kuliko mwanamke wako. Huwezi kuridhika mpaka uwe na NIDHAMU YA MWENYEWE..
Makambako Kubwa Kuliko Njombe
Kaliua Kubwa Kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama Kubwa Kuliko Shinyanga
Tunduma Kubwa Kuliko Songwe
Tukuyu Kubwa Kuliko Mbeya
Temeke kubwa Kuliko Dsm
Songea kubwa Kuliko Ruvuma
Ongezea Wilaya Ambayo Kubwa Kuliko Mkoa..!?👇