Wamwise (@mwanageni) 's Twitter Profile
Wamwise

@mwanageni

ID: 4535186302

calendar_today19-12-2015 11:58:20

1,1K Tweet

634 Takipรงi

1,1K Takip Edilen

๐‹๐ข๐ฃ๐ฎ๐ž ๐๐ž๐ง๐จ ๐ฅ๐š ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ (@lijuem) 's Twitter Profile Photo

*Hesabu 14:11-12* Bwana akamwuliza Musa, Je! Watu hawa watanidharau hata lini? Wasiniamini hata lini? Nijapokuwa nimefanya ishara hizo zote kati yao. Nitawapiga kwa tauni, na kuwaondolea urithi wao, nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, kisha yenye nguvu kuliko wao.

๐‹๐ข๐ฃ๐ฎ๐ž ๐๐ž๐ง๐จ ๐ฅ๐š ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ (@lijuem) 's Twitter Profile Photo

*Hosea 4:9-10* Hata itakuwa, kama walivyo watu, ndivyo atakavyokuwa kuhani; nami nitawaadhibu kwa ajili ya njia zao, na kuwalipa kwa matendo yao. Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia Bwana.

Sophia Kachima (@skachima) 's Twitter Profile Photo

Mathayo 10:28 Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.

Sophia Kachima (@skachima) 's Twitter Profile Photo

Inuka kifedha kwa kufanya haya: 1. Usionyeshe kipato chako chote 2. Weka 1-5 % ya kipato 3. Kutotumia zaidi ya 30% ya ukipatacho 4. Kuwa na pesa ya dharura 5. Jifunze kodi/ijue kodi unayolipa 6. Nunua mali inayo nunua vitu,au inayopanda bei zaidi ya ulivyonunua

๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ (@kamigakikumbise) 's Twitter Profile Photo

Hata kama unaona watoto wako kama hawamtaki Mungu, kisikusumbue, wewe endelea kuwaombea na kuwatolea sadaka, zinabaki ukumbusho mbele za Mungu na zitafanyiwa kazi. Mungu alikumbuka agano la Abrahamu baada ya miaka 400 kupita, akawaokoa kizazi chake sawa na ahadi ~Mwl Mwakasege