Msafiri (@msafirilus24939) 's Twitter Profile
Msafiri

@msafirilus24939

ID: 1704840108073979904

calendar_today21-09-2023 12:52:48

2,2K Tweet

551 Takipçi

550 Takip Edilen

esto kizzy 19 😎 (@darksoul206) 's Twitter Profile Photo

HIVI UKIONA MPENZI WAKO AMEPOST UA JEUSI STATUSI NA KAKU MENTION NA UKIMTUMIA SMS ANA ZIBLUETICK ANAMAANISHA NINI MAANA WANGU SIMWELEWI KA CHANGE💔

Djkid_b (@blessdgroovekid) 's Twitter Profile Photo

Kuna relationship moja niliingiaga mpaka tukachagua wimbo wa kuingilia ukumbini utakuwa ni "I'M IN LOVE" ya Patoranking Kumbe muda huo tunapanga hayo yote vijana wa Madini (Chunya) walikuwa wananichora tu sangapi wasiruke naye💔 Caren mungu anakuona😤🚶

ema_fundi_gairo🇹🇿 (@emanuel64027) 's Twitter Profile Photo

Leo kuna mjomba wangu nilienda kumsalimia, kumbe kanunua smartphone Akaniambia nimfungulie akaunti Facebook, nikamfungulia Baada ya muda nikamkuta anahangaika pale kwenye search ananitafuta mimi sasa anaandika "Mtoto wa dada" Sijui kama atanipata

Leo kuna mjomba wangu nilienda kumsalimia, kumbe kanunua smartphone 

Akaniambia nimfungulie akaunti Facebook, nikamfungulia 

Baada ya muda nikamkuta anahangaika pale kwenye search ananitafuta mimi sasa anaandika 

"Mtoto wa dada" 
Sijui kama atanipata
ormystatus (@ormystatus) 's Twitter Profile Photo

Huu uhusiano kati ya njaa na kutetemeka miguu, woii ni hatari 👇🏾👇🏾 A combo of hunger and leg trembling ? Yo, that shit slaps.

Djkid_b (@blessdgroovekid) 's Twitter Profile Photo

Hizo nambaz hapo chini kama mchele hata hazinishangazi maana 2021 kila siku iendayo kwa mungu Trace Muziki & MTV walikuwa wanapiga hili dude kutwa mara 3

Hizo nambaz hapo chini kama mchele hata hazinishangazi maana 2021 kila siku iendayo kwa mungu Trace Muziki & MTV walikuwa wanapiga hili dude kutwa mara 3
Being 6 💊💉🌡️🩺 (@tinaarys) 's Twitter Profile Photo

Nawaombea kwa Mungu wa Mbinguni ili awabariki ktk kipindi hiki cha kwaresma/mfungo wa Ramadhan ili muyatende ya kuwakumbuka wahitaji,wagonjwa,wafungwa, wenye ulemavu n.k kwa kutenda hayo mutakidhi matakwa ya mifungo naye Mola atawpeni thawabu zake,muwe na usiku mwema.