MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile
MipangoApp

@mipangoapptz

Empowering women in Africa, to achieve Financial Stability

ID: 1162628616649359360

linkhttps://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.mipango.finance calendar_today17-08-2019 07:34:16

1,1K Tweet

618 Takipçi

192 Takip Edilen

MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Uchumi wetu! Heri ya Siku ya Wakulima! Pakua Application ya Mipango ujiwekee malengo ya kukuza biashara yako ya kilimo, tukusaidie kuyafikia. #bossmaokoto #MjiniMipango #Vijana #fedha #Uchumi

Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Uchumi wetu!
Heri ya Siku ya Wakulima!

Pakua Application ya Mipango ujiwekee malengo ya kukuza biashara yako ya kilimo, tukusaidie kuyafikia.
#bossmaokoto #MjiniMipango #Vijana #fedha #Uchumi
MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

Ni muhimu kujua ni wapi pesa yako inapotelea, kwa kurekodi matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kupanga bajeti yako vizuri na kujua maendeleo ya matumizi yako ya pesa. Download application ya Mipango BURE kupitia playstore au App store bure. #Bossmaokoto #MjiniMipango

Ni muhimu kujua ni wapi pesa yako inapotelea, kwa kurekodi matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kupanga bajeti yako vizuri na kujua maendeleo ya matumizi yako ya pesa.

Download application ya Mipango BURE kupitia playstore au App store bure.
#Bossmaokoto #MjiniMipango
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Ni mwanachuo unayetafuta mbinu bora za kusimamia BOOM lako? Ni mjasiriamali mdogo unayetafuta mbinu bora za kusimamia fedha zako? Karibu #NIKONEKT, Mipango Fintech watakufundisha jinsi ya kupanga bajeti na kuweka akiba kwa mafanikio ya muda mrefu.

Ni mwanachuo unayetafuta mbinu bora za kusimamia BOOM lako?

Ni mjasiriamali mdogo unayetafuta mbinu bora za kusimamia fedha zako?

Karibu #NIKONEKT, Mipango Fintech watakufundisha jinsi ya kupanga bajeti na kuweka akiba kwa mafanikio ya muda mrefu.
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Usimamizi wa fedha ni njia mojawapo ya kufanikisha malengo yako. MipangoApp watakuwepo #NIKONEKT kukupatia elimu zaidi. Kijana hii warsha ni muhimu sana usikose kwa gharama ya Tsh 20,000 📞 0694 490 578

Usimamizi wa fedha ni njia mojawapo ya kufanikisha malengo yako.

MipangoApp watakuwepo #NIKONEKT kukupatia elimu zaidi.

Kijana hii warsha ni muhimu sana usikose kwa gharama ya Tsh 20,000
📞 0694 490 578
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Matumizi sahihi ya pesa huanza na mipango. Kijana usidharau kipato chako njoo kwenye warsha ya #NIKONEKT utakutana na MipangoApp watakupa elimu nzuri sana 13.09 pale Sayansi Kijitonyama Gharama 20,000 Kupata tiketi 0694 490 578

Matumizi sahihi ya pesa huanza na mipango.

Kijana usidharau kipato chako njoo kwenye warsha ya #NIKONEKT utakutana na MipangoApp watakupa elimu nzuri sana

13.09 pale Sayansi Kijitonyama
Gharama 20,000
Kupata tiketi 0694 490 578
Jennifer (@niffermainoo) 's Twitter Profile Photo

Usimamizi wa fedha kwa vijana unaanza na nidhamu binafsi. Je unazijua kanuni zote na namna bora ya kuweza kufikia malengo. Usikose warsha ya #NIKONEKT 13.09 pale Sayansi Kijitonyama MipangoApp watalonga Kwa gharama ya 20,000 📞 0694 490 578

Usimamizi wa fedha kwa vijana unaanza na nidhamu binafsi.

Je unazijua kanuni zote na namna bora ya kuweza kufikia malengo.

Usikose warsha ya #NIKONEKT 13.09 pale Sayansi Kijitonyama MipangoApp watalonga

Kwa gharama ya 20,000
📞 0694 490 578
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

.#ElimikaWikiendi x MipangoApp kwenye ushirikiano wa pamoja ndani ya #ElimikaWikiendi. Kwa tayari kwa elimu ya matumizi ya fedha na akiba kwa uchumi endelevu. #Nikonnekt #MitandaoPlus #YouthEmpowerment

.#ElimikaWikiendi x MipangoApp kwenye ushirikiano wa pamoja ndani ya #ElimikaWikiendi.

Kwa tayari kwa elimu ya matumizi ya fedha na akiba kwa uchumi endelevu.

#Nikonnekt #MitandaoPlus #YouthEmpowerment
MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

Creating lasting change for young women and girls through financial inclusion with FSDT and CGAP Our Problem Identification FinClinic is set towards real impact, empowering futures and transforming lives! #FinancialInclusion #Empowerment #FinClinic #mipangoapp

Creating lasting change for young women and girls through financial inclusion with FSDT and CGAP

Our Problem Identification FinClinic is set towards real impact, empowering futures and transforming lives!
#FinancialInclusion #Empowerment #FinClinic #mipangoapp
Digital for Development (D4D) Hub (@d4dhub_eu) 's Twitter Profile Photo

The #ThinkLikeAnInvestor call has successfully wrapped up, and we’re thrilled to announce that 10 exceptional DSIs have been chosen to move forward! They’ll receive tailored workshops, mentorship, and capacity-building to transform their projects into high-impact solutions.

The #ThinkLikeAnInvestor call has successfully wrapped up, and we’re thrilled to announce that 10 exceptional DSIs have been chosen to move forward!

They’ll receive tailored workshops, mentorship, and capacity-building to transform their projects into high-impact solutions.
MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

Pole kwa kupoteza Mzazi Pole kwa kupoteza Ndugu Pole kwa kupoteza Rafiki Pole kwa kupoteza Biashara Mungu awape faraja #Kariakoo 🕯️

Pole kwa kupoteza Mzazi
Pole kwa kupoteza Ndugu
Pole kwa kupoteza Rafiki
Pole kwa kupoteza Biashara
Mungu awape faraja #Kariakoo 🕯️
MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

We had the pleasure of meeting Mr. Jurriaan Middelhoff (Jurriaan Middelhoff), the Netherlands Youth Ambassador, at AnzaHub with PesaTech Accelerator startups. Discussed Fintech and growth opportunities through the PesaTech Acceleration Program. Thanks to all for making this happen!

We had the pleasure of meeting Mr. Jurriaan Middelhoff (Jurriaan Middelhoff), the Netherlands Youth Ambassador, at AnzaHub with PesaTech Accelerator startups.
Discussed Fintech and growth opportunities through the PesaTech Acceleration Program.
Thanks to all for making this happen!
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

ElimikaWikiendi kwa kushirikiana na Mipango Fintech, tunakuletea mjadala muhimu kuhusu Mikopo ya Kidijitali ndani ya #ElimikaWikiendi. Fahamu kuhusu waelimishaji wetu kutoka kampuni na taasisi kongwe za kifedha zinazoaminika zaidi nchini. USIKOSE!

ElimikaWikiendi kwa kushirikiana na Mipango Fintech, tunakuletea mjadala muhimu kuhusu Mikopo ya Kidijitali ndani ya #ElimikaWikiendi.

Fahamu kuhusu waelimishaji wetu kutoka kampuni na taasisi kongwe za kifedha zinazoaminika zaidi nchini. USIKOSE!
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Jiunge nasi jumamosi hii kwenye #ElimikaSpaces ya #ElimikaWikiendi kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi kufahamu kwa kina kuhusu Mikopo ya Kidijitali. Kiunganishi 🔗 x.com/i/spaces/1rmxP…

Jiunge nasi jumamosi hii kwenye #ElimikaSpaces ya #ElimikaWikiendi kuanzia saa 3:00 - 5:00 Asubuhi kufahamu kwa kina kuhusu Mikopo ya Kidijitali.

Kiunganishi 🔗 x.com/i/spaces/1rmxP…
MipangoApp (@mipangoapptz) 's Twitter Profile Photo

Wellness check in from UNCDF Tanzania , exciting things ahead. Pakua na Tumia Mipango App. ndani ya App Store na Play Store BURE sasa! #MjiniMipango #MipangoApp #BossMaokoto

Wellness check in from UNCDF Tanzania , exciting things ahead.

Pakua na Tumia Mipango App. ndani ya App Store na Play Store BURE sasa!
#MjiniMipango #MipangoApp #BossMaokoto