Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile
Mike

@mike_is_mike7

A beautiful thing never gives so much pain as does failing to hear and see it. ”
- Michelangelo

ID: 1885380081205260288

calendar_today31-01-2025 17:30:39

359 Tweet

225 Takipçi

293 Takip Edilen

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Yes, na if they are friends na the father, Huwa Kuna Ile "maybe we can work things out" inaweza isitokee lakini probability ya frequently lovey dovey na the father zinatokea

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Hivi Kwa mfano ukiona tweets za mwanamke humu ndani alafu ghalfa ukaanza kumpenda japokuwa hujawahi ata kuona picha yake , kwani ni vibaya?

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Bro one girl she was telling me her friend aborted some mimbas (3 mimbas) , mzee she is depressed now . So I agree with you abortions do contribute in depression

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Sijui Kwanini people are pissed, ila ki ukweli hata my daughter (if nikipata), lazima nitamwambia achukue mtu stable job au source of income so I think you are right.

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Absolutely this should be the way, huwezi force mwanamke akupende, atakutumia tu alafu akasimp Kwa jamaa anauemtaka, if a woman doesn't show interest in you, don't shoot your shot utaaibika Bure

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

You are right bro, wanawake wanajua wanataka nani, trying hard kumfanya akupende ni too much work wakati jamaa mwingine atasema "where we meeting" Dem anasepa chap wewe uko hapo trying to make her feel safe

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Njia rahisi kupata pesa, punguza Morals au usiwe nazo kabisa, we sema tu umetumwa kuwa mtumishi au umeoteshwa uanze kuhubiri, kuwa na cult ni kitu rahisi we target watu ambao wako overly religious

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Yeah, expectations na false promises, after a certain point ya kumuweka mtu akilini kumtoa inakuwa ngumu so ndo kushikwa hapo Sasa

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Wtf hata kama you are naive, kama uko religious utajua to this is wrong, Kubagua watu because of income??? Education???? And it's about religion????

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Don't fall for this trap wazee, women will marry you and cheat on you with a guy ambae hampi kitu, wanawake wana make decisions based on feelings sio logic

Mike (@mike_is_mike7) 's Twitter Profile Photo

Hivi mwanaume ukifanya skin care ni vibaya au vizuri? Na kama ni Vizuri ni options gani mnatumia? Nauliza tu Kuna mtu kaniuliza, sio Mimi.