Mapung'o (@mapungo2020) 's Twitter Profile
Mapung'o

@mapungo2020

ID: 1208535430439882753

calendar_today21-12-2019 23:51:28

89,89K Tweet

9,9K Takipçi

98 Takip Edilen

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s Serengeti National Park has been crowned Africa’s Best National Park at the 2025 World Travel Awards, reaffirming its status as one of the continent’s most iconic and awe-inspiring wildlife destinations. The Serengeti is renowned for its spectacular landscapes, rich

Tanzania’s Serengeti National Park has been crowned Africa’s Best National Park at the 2025 World Travel Awards, reaffirming its status as one of the continent’s most iconic and awe-inspiring wildlife destinations.

The  Serengeti is renowned for its spectacular landscapes, rich
Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa Gosheni Safaris na kiongozi #petergosheni 👏👏 kwa ushindi mzito kunyakua tuzo Tatu pongezi kwa kuendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa letu la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Hakika mnastahili we are so proud of you guys #Gosheni Safari imeshinda tuzo hizi ka

Hongera kwa  <a href="/goshenisafaris/">Gosheni Safaris</a>  na kiongozi #petergosheni  👏👏 kwa ushindi mzito kunyakua tuzo Tatu pongezi  kwa  kuendelea kuipeperusha vyema bendera ya taifa letu la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Hakika mnastahili  we are so proud of you guys #Gosheni Safari imeshinda tuzo hizi ka
Mapung'o (@mapungo2020) 's Twitter Profile Photo

Acha ujinga Bulaya alikuwa CCM kabla hajaja kwenu sasa kadi ya nn mbona Lowassa na Sumaye walivyorudi CCM hukuhoji kadi zao? 🚶🚶🤣

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

CCM kuna muda mnateuaga wagombea ubunge wapumbavu sana!..Hawa ndiyo wanafanya CCM nzima ionekane ni watu wajinga Jitu kama hili la nini kuwa mbunge? Yaani Doha ipi au Qatar ipi anaongelea mlevi huyu?

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8. Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8.

Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Why this WAS MONGER is still walking free? Yaani huyu anawezaje kusema uchaguzi haufanyiki na wakati ni takwa la kikatiba? Yaani anazuia uchaguzi kama nani ndani ya nchi hii? Yaani sielewi hii takataka inapoachwa kuendelea kuongea huu upumbavu kwa kudhani ni siasa. Yaani mtu

Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Matendo 2 :20 -21 Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri. Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa. 🙏🏽 #Alamsiki ✍🏿