@lumumafinest
Author ✍🏽
ID: 1659517175810473984
calendar_today19-05-2023 11:12:26
426 Tweet
228 Takipçi
983 Takip Edilen
8 months ago
Ukiona sikupi hela jua nahifadhi ili nikuoe basi huwe mvumilivu🫵🏻
Wangemiliki furaha yetu wangetutoza ushuru
Futuru kistaarabu yo🙌🏿🤣
7 months ago
African beauty Nick minaji karuche Vipi leo tutaonana The way so cute nitinge moka na suti ama kajinsi cha kunibana🤣🙌🏿
Sikia mama mtu kuna mchongo nausikilizia😀
Siku iyo ikicheza simba tutavaa simba na ikicheza yanga tutavaa Simba 🤣
Kaka ukichukua hiace ukaifanya gari ya kutembelea ipo siku itakodishwa tu ata na mwanafamilia🫵🏻🤔
6 months ago
Kweli mama mkwe alijua kuleta kitunguu maji hapa duniani 😁
Unakula mchana kwani unanyonyesha?😁🙌🏿
Ndugu abiria sasa ndio tunaingia jijini mbeya😁🙌🏿
.
"Nikipotea, nipo mawindoni... najitafutia nafasi yangu Hakuna shortcut ya ndoto halisi... lazima kupambana na hali." KUFA NDIO KUFELI masela na Mungu tu✊🏼
4 months ago
Mtu anakuona umekonda anashindwa kusema tu umekonda anaanza kukuuliza hivi ushajaribu uji wa ulezi😁🙌🏿
Kumbe yanga hata hatupigi sana si umeona ushajiaula sio muda itapoa😁🔰🫵🏻
Kama Singida black stars kaonewa uje wewe😁🫵🏻
3 months ago
Hii baridi ngoja nilale nisijejikuta naitwa baba na sijajipanga😁🙌🏿
Unapata manzi inakuzungusha miezi kumbe mwenzio anajiuza 😁🙌🏿
2 months ago
Ulienivisha limbao la swahili speaker unaendeleaje uko ubalozini England?😁🙌🏿
Tumepanda daladala mzee anamuhusia msichana kuhusu elimu na hawaogope vijana huku akinitazama mimi sasa mi nimefanyaje😁🙌🏿