Live tothefullest (@livetothefull14) 's Twitter Profile
Live tothefullest

@livetothefull14

living meaningful life
living purposefully life
arsenal fun.
musclelininity is must.

ID: 1587383246387552256

calendar_today01-11-2022 09:57:46

2,2K Tweet

26 Takipรงi

49 Takip Edilen

P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Kuunda videos Kwa kutumia AI avatar softwares Tuone Softwares 5 Utaweza Unda videos bila kuweka picha Yako, kama za matangazo ya Biashara Kilimo Masomo Huhitaj kuwa graphics designer Wala IT, au photographer Sasa, AI avatar software ni Nini? #Thread #Retweet P'site Shio

Kuunda videos Kwa kutumia AI avatar softwares
 
Tuone Softwares 5

Utaweza Unda videos bila kuweka picha Yako, kama za matangazo ya

Biashara
Kilimo
Masomo 

Huhitaj kuwa graphics designer Wala IT, au photographer

Sasa, AI avatar software ni Nini?

#Thread
#Retweet
<a href="/Psiteshio1/">P'site Shio</a>
Creative Vans ๐Ÿ’ถ (@creative_vans) 's Twitter Profile Photo

HII HAPA :- Jinsi Ya Kutengeneza Poster Nzuri Ya Chakula Kwa Kutumia Canva Ndani ya Dk 5 tu . Kama unatamani kujua Kutengeneza Poster Kali kama hii hapo chini...Hakikisha Unasoma Mpaka Mwisho... . . {TWENDE PAMOJA} ๐Ÿ‘‡

HII HAPA :- Jinsi Ya Kutengeneza Poster Nzuri Ya Chakula Kwa Kutumia Canva Ndani ya Dk 5 tu
.
Kama unatamani kujua Kutengeneza Poster Kali kama hii hapo chini...Hakikisha Unasoma Mpaka Mwisho...
.
.
{TWENDE PAMOJA} ๐Ÿ‘‡
Uncle Fafi (@tanganyikan) 's Twitter Profile Photo

Naangalia hii documentary inaeleza namna Bill Gates anavyotumiwa na makampuni ya magharibi kutengeneza utegemezi wa mbegu na mbolea zao kila msimu kwa kuondoa zile mbegu ambazo ukivuna unaweza kupanda tena ๐Ÿ˜ฑ

Creative Vans ๐Ÿ’ถ (@creative_vans) 's Twitter Profile Photo

Bila Kadi ya Mwaliko, Huwezi Kula Pilau na Kuku Kwenye Harusi ...๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ˜‹ . HII HAPA!!...Jinsi ya Kutengeneza Flyer Nzuri Ya Mwaliko Wa Harusi Kwa Kutumia Canva Kwenye Simu au PC . . ( SHUKA NAYO )๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Bila Kadi ya Mwaliko, Huwezi Kula Pilau na Kuku Kwenye Harusi ...๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ˜‹
.
HII HAPA!!...Jinsi ya Kutengeneza Flyer Nzuri Ya Mwaliko Wa Harusi Kwa Kutumia Canva Kwenye Simu au PC
.
.
( SHUKA NAYO )๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Mwaka jana mwezi wa 3 nilirudishwa nyuma sana Nilikua na michuzi yangu kama $2k+ kwa PayPal yangu. Ikafungwa Michongo mingi ya Online, PayPal Ina umuhimu sana. Unapataje PayPal kwa njia legal na si illegal. Faida na hasara zake. Unatumiaje PayPal kuhakikisha haifungwi?.

Mwaka jana mwezi wa 3 nilirudishwa nyuma sana Nilikua na michuzi yangu kama $2k+ kwa PayPal yangu. Ikafungwa

Michongo mingi ya Online,  PayPal Ina umuhimu sana.

Unapataje PayPal kwa njia legal na si illegal. 

Faida na hasara zake.

Unatumiaje PayPal  kuhakikisha haifungwi?.
Live tothefullest (@livetothefull14) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata kuunganishwa rasmi na post paid ya tigo bila ya gharama yoyote, asante Faraja | Sales and Marketing Agent .huduma za kweli na uhakika. Achana na bando za jero zinakata haraka sana.

Leo nimepata kuunganishwa rasmi na post paid ya tigo bila ya gharama yoyote, asante <a href="/Faraja_zungu/">Faraja | Sales and Marketing Agent</a> .huduma za kweli na uhakika. Achana na bando za jero zinakata haraka sana.