lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile
lapexproperties

@lapexproperties

Certified real estate company deals with real estate activities on fee or contract basis and with own or leased property. We buy and sell properties

ID: 1380211235090788353

linkhttps://linktr.ee/lapexproperties calendar_today08-04-2021 17:29:56

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

10 Takip Edilen

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Tumeboresha huduma kwa wateja wetu walionunua viwanja kutoka lapexproperties Sasa tunakuletea huduma ya ziada ya kuweka nguzo ndefu ili kuonyesha mipaka ya kiwanja chako hata kama ukiwa mbali Karibuni sana #lapexproperties #viwanja

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Vimebaki Viwanja vichache sana Kwenye huu mradi wetu , kwa 3,390,000 Tsh unamiliki kiwanja pamoja na Hati miliki Kumbuka lapexproperties ndio Kampuni pekee ambayo ukinunua kiwanja unapata na Hati Bure , karibuni sana #lapexproperties #viwanja

Vimebaki Viwanja vichache sana Kwenye huu mradi wetu , kwa 3,390,000 Tsh unamiliki kiwanja pamoja na Hati miliki

Kumbuka <a href="/lapexproperties/">lapexproperties</a> ndio Kampuni pekee ambayo ukinunua kiwanja unapata na Hati Bure , karibuni sana

#lapexproperties #viwanja
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Ni Dalili gani zingine zinaashiria Utapeli? Tuambie hapa ili tusaidie kuepukana na Utapeli kwenye Ardhi #lapexproperties #viwanja

Ni Dalili gani zingine zinaashiria Utapeli? 
Tuambie hapa ili tusaidie kuepukana na Utapeli kwenye Ardhi 

#lapexproperties #viwanja
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Unatafuta kiwanja au huduma za ardhi kwa uaminifu na weledi? tupo kwa ajili yako Tunatoa huduma bora za: ✔Uchunguzi wa ardhi ✅ Kununua kiwanja ✔Kupata hati miliki ✔Transfer ya hati miliki Karibu Lapex – Tunakupa urahisi wa kumiliki ardhi kwa usalama! Simu: +255 672 826 826

Unatafuta kiwanja au huduma za ardhi kwa uaminifu na weledi?
tupo kwa ajili yako
Tunatoa huduma bora za:
✔Uchunguzi wa ardhi
✅ Kununua kiwanja
✔Kupata hati miliki
✔Transfer ya hati miliki

Karibu Lapex – Tunakupa urahisi wa kumiliki ardhi kwa usalama!
Simu: +255 672 826 826
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Kama una kiwanja ulinunua au ulipewa kama zawadi lakini hujui kilipo au umesahau mipaka yake karibu lapexproperties tutakuonesha Kiwanja hicho kwa Gharama nafuu kabisa Karibuni sana LAPEX #lapexproperties #viwanja

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Tunakusaidia Kumiliki Kiwanja kwa Bei nafuu pamoja na Hati miliki Kipindi hiki cha mvua ndio muda sahihi wa kutembelea site karibuni sana lapexproperties #lapexproperties #viwanja

Tunakusaidia Kumiliki Kiwanja kwa Bei nafuu pamoja na Hati miliki 

Kipindi hiki cha mvua ndio muda sahihi wa kutembelea site karibuni sana <a href="/lapexproperties/">lapexproperties</a> 

#lapexproperties #viwanja
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Utaratibu wa Malipo kwenye miradi yetu ya Kigamboni Unaweza kuchagua kulipa Cash ( Taslimu ) au Kulipa Kidogo Kidogo , Karibuni sana #lapexproperties #viwanja

Utaratibu wa Malipo kwenye miradi yetu ya Kigamboni 
Unaweza kuchagua kulipa Cash ( Taslimu ) au Kulipa Kidogo Kidogo , Karibuni sana 

#lapexproperties #viwanja
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Mtaalamu na Mshauri wa masuala ya ardhi @thommnkondya akieleza Namna Mfumo wa e-ardhi utakavyosaidia kupunguza Changamoto kwenye sekta ya ardhi Tanzania #lapexproperties #viwanja

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuthibitisha na kutambulika kisheria kama mmiliki halali wa kiwanja au nyumba yako? LAPEX tupo kwa ajili yako! Tutakusaidia kupata Hati kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi bila usumbufu. Karibuni sana lapexproperties #hati #lapexproperties #viwanja

Unataka kuthibitisha na kutambulika kisheria kama mmiliki halali wa kiwanja au nyumba yako?

LAPEX tupo kwa ajili yako!
Tutakusaidia kupata Hati kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi bila usumbufu.

Karibuni sana <a href="/lapexproperties/">lapexproperties</a> 

#hati #lapexproperties #viwanja
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

kama una kiwanja lakini hujui mipaka yake Au umesahau kilipo Ama unataka tu uhakiki umiliki au matumizi ya kiwanja chako karibu LAPEX Kwa huduma ya uhakika na kwa Gharama Nafuu Karibuni sana lapexproperties

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Ardhi sio Bidhaa ya Haraka unapotaka kununua kiwanja Hakikisha unafanya Uchunguzi ili umiliki Ardhi kihalali bila changamoto yoyote , Huduma hiyo utaipata lapexproperties kwa Gharama nafuu kabisa , karibuni sana

Ardhi sio Bidhaa ya Haraka unapotaka kununua kiwanja 

Hakikisha unafanya Uchunguzi ili umiliki Ardhi kihalali bila changamoto yoyote , Huduma hiyo utaipata <a href="/lapexproperties/">lapexproperties</a> kwa Gharama nafuu kabisa , karibuni sana
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Gharama ya uchunguzi wa ardhi/kiwanja ni ndogo sana, lakini faida yake ni kubwa! Uchunguzi utakusaidia kuepuka utapeli, migogoro ya ardhi , kujua matumizi ya kiwanja N.k Karibu LAPEX kwa huduma bora kuhusu masuala yote ya ardhi hapa Tanzania. #lapexproperties #uchunguzi

Gharama ya uchunguzi wa ardhi/kiwanja  ni ndogo sana, lakini faida yake ni kubwa!
Uchunguzi utakusaidia kuepuka utapeli, migogoro ya ardhi , kujua matumizi ya kiwanja N.k 

Karibu LAPEX kwa huduma bora kuhusu masuala yote ya ardhi hapa Tanzania.

#lapexproperties #uchunguzi
lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Zingatia yafuatayo kabla ya kununua kiwanja, Kipindi hiki cha masika ndio muda mzuri wa kununua kiwanja Mtaalamu wa Masuala ya ardhi @thommnkondya akielezea kwa kina #lapexproperties #viwanja #ardhi

lapexproperties (@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Usinunue kiwanja kwa mazungumzo tu , hakikisha unafahaku Mmiliki , mipaka na matumizi ya kiwanja hicho Huduma hii utaipata LAPEX kwa Gharama nafuu kabisa #lapexproperties #viwanja #uchunguzi

Usinunue kiwanja kwa mazungumzo tu , hakikisha unafahaku Mmiliki , mipaka na matumizi ya kiwanja hicho 

Huduma hii utaipata LAPEX kwa Gharama  nafuu kabisa 

#lapexproperties #viwanja #uchunguzi