BULL DOG 🐶 (@kishoka_) 's Twitter Profile
BULL DOG 🐶

@kishoka_

I'm ugly and broke that’s why I don’t post my photos online

ID: 1395735265726115842

calendar_today21-05-2021 13:37:26

29,29K Tweet

3,3K Takipçi

954 Takip Edilen

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

USA ina ukubwa mara 10 ya TZ USA ina watu mil 340, TZ tupo mil 67 USA in GDP ya $25 trillion, TZ tuna GDP $80 Billion Sasa inakuwaje; USA ina wizara 18; TZ kuna wizara 23 USA ina sanators 100; TZ kuna wabunge 393 USA ina governors 50; TZ kuna ma-DC 180+ Michezo ya TOWN🤔

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Nilipokuwa ndogo tuliaminishwa Papa anachaguliwa kwa Maombi. Yani makadinali wanajifungia wanasali alafu wanaandika jina la papa mpendekezwa kwenye karatasi inachomwa ikitoa moshi mweupe basi ndye Papa Mteule. Kumbe Wanajifungia Wagombea wananadi sera zao kama kagombea ubunge.

Nilipokuwa ndogo tuliaminishwa Papa anachaguliwa kwa Maombi. Yani makadinali wanajifungia wanasali  alafu wanaandika jina la papa mpendekezwa kwenye karatasi inachomwa ikitoa moshi mweupe basi ndye Papa Mteule.

Kumbe Wanajifungia Wagombea wananadi sera zao kama kagombea ubunge.
Shekh Ponda Issa Ponda (@sheikhponda) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 28/4/25, Masheikh 2, Mohamed Hasan na Rajab Ali wamehukumiwa kunyongwa, hakuna Baraza la Kiislam lililotoa tamko. Tarehe 30/4/25 ilitolewa taarifa ya Padri Kitima kushambuliwa, siku ya pili yake, TEC walitoa tamko na wito kwa Serikali. Tunajifunza nini kati ya pande mbili.

Tarehe 28/4/25, Masheikh 2, Mohamed Hasan na Rajab Ali wamehukumiwa kunyongwa, hakuna Baraza la Kiislam
lililotoa tamko. Tarehe 30/4/25 ilitolewa taarifa ya Padri Kitima kushambuliwa, siku ya pili yake, TEC walitoa tamko na wito kwa Serikali. Tunajifunza nini kati ya pande mbili.
Myunani (@maxtz255_) 's Twitter Profile Photo

Sinza unaenda Na Mtaji wa Million 30 10M inaishia kwenye Bango 9M ni decorations za Ndani 1M kwaajili ya A/C 6M kodi miezi 6 1M usajili wa biashara 3M unaagiza Bidhaa 😀

AFRICAN LEADER (@moudyswaggz) 's Twitter Profile Photo

Kaji Kila mtu hawezi kuwa tajiri , mafanikio ni bahati kwa wale wanalioko kwenye mnyororo wa mapambano ..Siwezi kujifunza wala kumuiga mwingine kila na njia yake ,kikubwa ufike tu...Hakuna anayeweza kukufundisha jinsi ya kupata mafanikio.

MethoDman (@polo_kimanii) 's Twitter Profile Photo

Mimi mambo ya kutafutia watoto generational wealth niliwacha. Not on bad faith though,nijuu vile nimejionea,sahii unasomesha watoto wanaenda wakiendanga buana. After growing up and progressing career wise,most of them just want to do their own things,mwingine ni pilot,mwingine

Billy (@billytronix1) 's Twitter Profile Photo

Demu kaja gheto hatua ya kwanza kaenda kwenye show rack namuona anajaribu jaribu viatu vyangu,kumbe anajirekodi kwa ajili ya challenge ya tik tok 😂😂😂

The People’s Watchman (@bonifacemwangi) 's Twitter Profile Photo

My life is in danger. I'm at Serena Hotel, Dar es Salaam and they're armed men in civilian clothes outside my room. They claim they are police officers, but they have refused to identify themselves. They will have to break the door to remove me here. I'm not going to open it.