Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile
Truman Kakuru

@kakuruff

Fan of Prayers & Football

ID: 1816472862943064064

calendar_today25-07-2024 13:58:09

3,3K Tweet

388 Takipçi

546 Takip Edilen

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Anayeuza jezi nataka jezi ya Arsenal ya saivi namba 14 jina "Kakuru" ifike Bukoba kabla ya Jumamosi saa 7....kama unaweza nicheki tufanye biashara

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Afadhali uumizwe na mapenzi kawaida, kuna ile loko anakuja geto kwako kwa kujiiba anakuja ananuka moshi aisee nguvu zinakata

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Wanawake ni wagumu sana kukubali rejection, na ndio sababu ya kuongezeka kwa vifo na ndoa nyingi kuharibika sikuhizi, yaani mwanamke unamkataa anaanza kukutafutia uchawi na mbinu nyingine ili na wewe uharibikiwe au ukataliwe...MSHINDWE KWA JINA LA YESU manyoko zenu wachawi

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Bhana mimi mshamba wa mkoani nataka kuja Dar (nina mambo yangu binafsi), ila nataka nikija nipige picha tu na maongezi ya dk hata moja na watu wangu pendwa maarufu, sasa nataka wakala wa kunikutanisha nao na kunitembeza sehemu za bata,pesa za kutembea na kulipia kila kitu kwangu

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi sana upate kademu kadada kadogo ukae nako, usikaumize sana alafu kajali, utaEnjoy, hawa wamama wa 26+ kuwa nae kama unataka kuchanganyikiwa tu

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Jamani madereva tuheshimiane, unaendesha Noah, Benz, Audi sijui rav4, fuso, scania ni madereva wote ebu endesha vizuri mimi sikupenda kuwa bodaboda msitutimulie mavumbi.

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Ukishika tupesa twako tuzungushe kwa kununua kakitu ambako baada ya dakika hata 5 unaweza kukauza ukapata faida ya buku...usikae na tuhela twako mfukoni kama unajijiua bado hauna level za kualikwa kwenye harambee, zungusha tuhela twako maskini mwenzangu uwe tajiri

Truman Kakuru (@kakuruff) 's Twitter Profile Photo

Feisal shuti anazopiga amenikumbusha enzi zangu JKT Jitegemee Mgulani High School, mpaka afande Mkisi alisema nisiwe nakimbia smart area nitembee tu

08 阿森纳 (@afcodegaar) 's Twitter Profile Photo

Been told that most of Grimsby players are Factory worker they plan their matches on a WhatsApp group. No training at all 🤣🤣🤣 #GRIMUN