Joshua One (@joshuaone7) 's Twitter Profile
Joshua One

@joshuaone7

ID: 1262976893743226886

calendar_today20-05-2020 05:22:24

476 Tweet

869 Takipçi

4,4K Takip Edilen

Charles John (@gibu_jr) 's Twitter Profile Photo

Nissan double cabin Full document Cc 3200 Fuel Diseal Good condition Bei 5.5M Njoo na fundi wako Maelezo Kwa Gari 0777293300

Nissan double cabin
Full document
Cc 3200
Fuel Diseal
Good condition
Bei 5.5M
Njoo na fundi wako 
Maelezo Kwa Gari 
0777293300
sea_food_lovers (@tanysah) 's Twitter Profile Photo

Zege kisinia chinese beef unapata kwa 13,000 tu sinia unabaki nayo Ukitaka kula hapa unapata kwa 10,000 tu Tunapatikana kinondoni studio Pinda road matitu street Tupigie/whatsapp 0742 202040 Kwa huduma ya haraka tupigie simu

Zege kisinia chinese beef  unapata kwa 13,000 tu sinia unabaki nayo 

Ukitaka kula hapa unapata kwa 10,000 tu 

Tunapatikana kinondoni studio Pinda road matitu street 

Tupigie/whatsapp 0742 202040
Kwa huduma ya haraka tupigie simu
CZAR 👑 ₿ (@defi_czar) 's Twitter Profile Photo

Najua kweli una matatizo unaumia labda umpweke sana, lakini unajua namna unavyozidi kulalamika na kujionea huruma ndiyo unavyozidisha maumivu? Kuna watu wengi wana matatizo makubwa kuliko wewe, lakini hawana namna, wanalazimika kutoka na kufurahia maisha yao🗞

Habibu B. Anga (@habibu_anga) 's Twitter Profile Photo

Roman Abramovich: Utajiri wa Damu Mpaka Kumuingiza Ikulu Putin Thread, Namna ambavyo mtoto yatima aliyelelewa katka umaskini ameweza kuibuka moja ya binadamu wenye ukwasi mkubwa duniani na mpaka kuweza kumuingiza Ikulu Vladmir Putin ni mkasa wa aina yake… (Usisahu ku-Retweet)

Roman Abramovich: Utajiri wa Damu Mpaka Kumuingiza Ikulu Putin

Thread,

Namna ambavyo mtoto yatima aliyelelewa katka umaskini ameweza kuibuka moja ya binadamu wenye ukwasi mkubwa duniani na mpaka kuweza kumuingiza Ikulu Vladmir Putin ni mkasa wa aina yake…

(Usisahu ku-Retweet)
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

KUBENEA ni rubbish. Toka afungue kesi ya Makonda halafu anaanza kumtafuta ampe hela ili afute kesi yake ya hivyo ndipo nilipomuona ni takataka kabisa Anayemlipa anajulikana mbona!..😁🤣 Si anayemlipa Kaseke kule alizetini FC ndiyo project yake hii au hamna habari?

Used Point (@usedpointtz) 's Twitter Profile Photo

Nyumba inauzwa milioni 13.5 Ina vyumba 3,sebule jiko na choo Mwembe mdogo Kigamboni Ina makabidhiano ya serikali ya mtaa 0788106694 #TwitterGulio

Nyumba inauzwa milioni 13.5
Ina vyumba 3,sebule jiko na choo
Mwembe mdogo Kigamboni
Ina makabidhiano ya serikali ya mtaa
0788106694
#TwitterGulio
Ronald van Loon (@ronald_vanloon) 's Twitter Profile Photo

This #Robotic #Drone has legs and acts like a bird by GiGadgets #AI #MachineLearning #ArtificialIntelligence #ML #MI #DL #Technology cc: @ronald_vanloon @yvesmulkers @pbalakrishnarao